JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salamu wakuu................... Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. 😂😂😂 Anyway, straight to the point 👉 Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu Binafsi nilikuwa kila...
20 Reactions
153 Replies
2K Views
Post na yako uliyoiona sehemu yoyote!
0 Reactions
3 Replies
264 Views
Kumekuwa na tetesi kuwa Biden si mwanadamu kwani ameonekana mara kwa mara akifanya vitu kiroboti na pia network zake zimeonekana hazipo vizuri je haya yote ni ya kweli au uzushi tu.
4 Reactions
54 Replies
12K Views
I will start with: ...roar
4 Reactions
5K Replies
195K Views
Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe? 1. Unalia? 2. Unakaa kimya? 3. Unapigana? 4. Unamuomba Mungu 5. Unamcomfront na kumfokea alikuudhi? 6. Unasikiliza music? 7. Unatoka out? 8. Unaongea na Baby?
5 Reactions
76 Replies
3K Views
May today be filled with smiles, laughter and love! Karibuni wote mje kula cake mida ya saa moja jioni. Siku ya leo napenda kumjua twin angu ndani ya jf, nimlishe cake who is s/he? Happy...
24 Reactions
219 Replies
15K Views
Mnaendeleaje, mnakwepaje mabomu Hatutegemei mlalamike. Uzi tayari
0 Reactions
4 Replies
392 Views
Nimepita hapo. Watu ni wasiri sana, Hivi ni mimi tu ndio nilikuwa sipafahamu hapo au?
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa, wakati wa furaha yangu hautakuwepo tena. Niendako napajua ila sijui pameandaliwaje, mioyo yenu yenye huzuni...
0 Reactions
3 Replies
200 Views
Wakuu leo weekend, turelax na threads kama hizi za kujiliwaza akili... Naanza mimi, Kuview comments tu,kulike aaaah Kuingia jf tu, kanisani aaah Nawakaribisha na nyie katika challenge hii ya...
3 Reactions
51 Replies
947 Views
Mu khali gan wana Cc nataka kuuliza hv kweli wapenzi wa zamani waliowahi kuzaa na kuachana hawawezi kuachana moja kwa moja. Lazima wanakumbushiana yale mambo yetu pindi napoonana
0 Reactions
8 Replies
991 Views
Ni jambo gani lilikuwa linakuogopesha sana, lakini sasaivi unaona ni kawaida kulifanya na wala huogopi kabisa? Tiririka.....
6 Reactions
19 Replies
493 Views
Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Nafungua codes. Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa. 1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari) 2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook 3. Apartment...
4 Reactions
39 Replies
926 Views
mf: 1. Arushaone nahic atakua ni mtu asiyenyoa ndevu. pia atakua anapenda kuvaa suti koti na suruar tofaut. 2. Mamndemi ni mmama mwenye watoto na mwenye staha ila akiwa humu anajiche2a 3 Mzizi...
5 Reactions
176 Replies
10K Views
Yaani mamy najisikia raha mara nyingi ninapofungua post we unakua wa kwanza kuitoa topic bikra hivi hebu niPM nikurushie fasta
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Aisee humu JF Kuna nini. Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k. Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi Naipenda JamiiForums mno
12 Reactions
181 Replies
3K Views
wale wazee wa Cc hebu tianeno hapa hawa vidume wawil yaan nisiyempenda had leo nimwez na nusu hata kubp anasema yuko bze ila upande wa pil huyu ambaye hata punje ya mapenz cna ndo anajua mm...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Eti wakuu mnaonaje namimi mkinielekeza mmefanyaje hadi mkayapatia maisha kiasi hiki. Nimepitia nyuzi nyingi sana nimegundua anayemiliki gari ya hali ya chini kabisa ni Mshana Jr mwenye BMW Series...
7 Reactions
24 Replies
659 Views
Back
Top Bottom