JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndo ivo, nimetoka kulipia bill ya salon Tsh 12,000! Japo uchumi unabana, ila nimeona pana unafuu na invoice niliyopigwa na yule wa mwanzo aliyeniambia nimtumie Tsh laki moja kwa ajili ya salon, na...
0 Reactions
8 Replies
998 Views
Habari zenu, Tangu najiunga JF miaka miwili nyuma nimekua nikiona tabia ya baadhi ya member humu wakiwa na tabia ya kubeza wenzao kwamba ni watoto ama ni wadogo na wengi wamekua wakipata gadhabu...
1 Reactions
62 Replies
4K Views
hebu tukumbushane baadhi ya mikwale tulalowapinga wazazi wakati tukiwa shuleni na vyuoni ili tujipatie pesa kwa visingizio ,hakuna asiyejua maisha ya shule yalivyo mangumu ni zaid ya magufuli...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nawpa tahadhari tu Mademu... Mkienda getto Kwa jamaa ZENU msipende kufagia Kila KARATASI unayoiona..... Ukikuta karatasi imeandikwa Man utd #win Psg #win Liverpool #lose Napoli #win Arsenal...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hiv ikitokea tu ndo unajikuta unamiaka kumi ndo kwaaanza unaamshwa uende shule yaaani muda wote huo ambao we unajiona umekuwa mkubwa kumbe ulikuwa unaota tu UTAFANYAJE?
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ninakaribia kuanza kusoma postgraduate na nitakuwa huko kwa zaidi ya miezi tisa. Nitajifungia mitandao mingi ikiwemo Jamii Forum. Je, nitakosa nini nikiikosa Jamii Forum kwa miezi yote zaidi ya tisa?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni mtazamo wa ajabu ajabu.....[emoji7] [emoji14]
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now! Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana! Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi! Najua...
2 Reactions
217 Replies
10K Views
*KUNA WADADA HUMU* *HATA* *WAPEWE BIKRA SASA* *HIVI* *NINA UHAKIKA* *IKIFIKA* *SAA* *KUMI JIONI HAWANA* *TENA*
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uzi huu utakuwa maalumu kwa ajili ya kuweka matukio ya mechi za watani wa jadi, Simba na Yanga! Imekuwa ni desturi timu hizi zinavyokutana basi, kunakuwa na vituko na matukio ya aina tofauti...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Husika na kichwa hapo juu kinavyosomeka, Vibosile huwa ni vikwazo sana kwa wapendanao. Unaweza ukawa na msichana wako mkali tu tena mnapendana kinoma...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo, 27.10. siku ya jumapili miaka 26 iliyopita Bi. Aisha, akiwa mjamzito, alitoka kidogo nyumbani akifanya mazoezi kama ilivyo ada ya kina mama Wajawazito. Katika mazoezi yake...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
2 Reactions
3 Replies
1K Views
nina umbea wa hatare unawahusu members wawili wa humu .nifanyeje jamani? yaani ni umbea ambao utatikisa humu ,server inaweza kuzima yaani
3 Reactions
287 Replies
13K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Leo nimeamua nije ya maada ya kufa mtu yaan ya kukata na shoka Heshima ya mwanaume ni kupiga pu:mbu kweli...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ngoja niache maneno mengi nitililike na story moja kwa moja Hii story lazima iwakonge kumoyo Ilikuwa hivi, Nilikuwa...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Ni kweli daktari ni mtu anayelipwa mshahara mkubwa na serikali au hata sekta Binafsi! Engineers hawalipwi hela nyingi kama daktari....swali linakuja je kwanini sasa wahandisi wengi ni matajiri...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…