Nimekumbuka kitu kinaitwa kishada. Ni karatasi inakatwa na kutengenezwa mithili ya ndege kama Stealth Bomber za USA ila kishada kinakuwa na mkia mrefu.
Ukishatengeneza unakifunga na kama za...
Hapa ndipo tunakutana na kusema maajabu yanayotokea kila siku mtaani kwako au unapoishi ili tushangae pamoja, iwe ni siasa, ustawi wa jamii, maendeleo ya watu, maliasili na utalii, kilimo, sanaa...
Habarini wanandugu
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, jatika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.
Nazo ni:-
1) Sare ya shule
2) Joho la graduation
3) Gauni la harusi
4)...
KAMA HUKUWAI KUANGALIA HIZI MOVIE Tia mgomo uzaliwe upya.
1: TITANIC.
2: KING KONG
3: ANACONDA.
4: JUMONG.
5: AMERICAN NINJA
6: DELTA FORCE
7: TARZAN.
8: DOUBLE IMPACT.
9: TERMINATOR 10...
Wana Bodi habarini za Jumapili. Kwa hakika JF ni jukwaa zuri mno. Nimemfahamu mwana JF mmoja hapa. Nikam PM kisha tukaanza kuwasiliana nje ya JF. Tumeanzisha biashara pamoja na sasa maisha...
Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu...
Wadau JF mimi ni kijana mpambanaji katika harakati zangu nimekuwa inspired na waliofanikiwa wengi Tanzania mpaka ulaya.Kuna mzee mmoja hapa kitaa mwanza enzi tunakua alikuwa na pesa sana ila kwa...
Hivi M-sure maanake nini? Nauliza hivi kwasababu kuna vijana around my office wananiita m-sure hata around my neighbourhood vijana wengine wananiita m-sure. Ni vijana nimewazidi miaka 10 au 15...
Habari za mida hii wapedwaaa???
Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo...
A person was invited to a wedding, when he reached the hotel where the wedding reception was in session he found two doors written
1 . Bride relatives
2. Groom relatives
He entered the one...
Hizi ID bhana huwa zinanichekesha sana kila nkizikumbuka na najiuliza wenyewe ni watu wazima sana,vijana pure au watu wa makamo au viongozi nazo ni hizi:-
*Nkongu Ndasu
*Mfitinishaji
*Nkunungu...
Hapa jana nilikuwa naperuzi JF kupitia App ya simu nikamsoma mtu anaitwa mchepuko wa mkulu nilishangaa huyu mtu kilichomsukuma hadi akajipa hiyo ID ni nini
popote alipo mchepuko wa mkulu, aje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.