Katika Luninga Kuna Kipindi kimoja Kilikuwa kinaitwa TAZAMENI" Kwenye hiko Kipindi nilikuwa mpenzi sana Wa Series ya Kubadilishana kazi..
Mfano Fundi Bomba Anabadilishana Kazi Na kinyozi Au Mama...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Ni ijumaa nyingine tena, ijumaa ya upendo na furaha tunakutana kwenye show la kibubwa show la kibabe na beira baby boy...
USHAURI WA BURE
kama ni mtumishi wa umma au idara ya serikali, ukiamka asubuhi kabla hujajiandaa kwenda kazini kwanza pitia social media "unaweza save nauli yako" kuanzia maisha ya kesho yake...
Yaani mnajua kabisa kwamba GENTAMYCINE siku zote naishi huku Kisiwani Puerto Rico na tokea jana tumekumbwa na Kimbunga kimoja kibaya sana kiitwacho Maria ambacho kimeharibu karibia miundombinu...
Habari zilizotufikia hivi punde simba wako kwenye kikao kumtafuta mchezaji wa mbao mwenye kadi 3 za njano*
Hadi muda huu mabishano ni makali zaidi uongozi unataka kumtuma haji manara mwanza...
Ndio umebahatika kufahamiana na wanawake hawa wawili na wote wanakupenda. Nani ungechagua kumuoa? Tujaribu kuchambua na tabia zao ili iwe fundisho/ushauri kwa wanaotarajia kuoa.
Karibuni
Natafuta mwanasheria wa kunisaidia nataka kuwafungulia kesi ya madai tigo wanilipe fidia million mia mbili kwa kunisababishia Usumbufu. Ni hivi ilikuwa Jumapili ya tarehe 12 mwezi huu wa tisa 2017...
Wasalaam wana jamvi.
Hakika hili neno la be the first to joseverest, nimekuwa nikukutana nalo na nashindwa kulielewa kwakweli na huwa nakutana naolo.
Bado najiuliza huyu Joseverest ni nani na nini...
JAMAA alimuaga mke
wake mlokole kuwa
anaenda semina ya siku
tatu, kumbe anakwenda
kwa bi mdogo. Mke akamwambia
mumewe; "Tupige magoti
tusali", Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie
mume wangu...
Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani...
Habari Wakuu,
Mtu aliyeumizwa sana katika kile kitu ambacho aliweka moyo wake wote, iwapo atakosa msaada wa karibu sana kutoka kwa watu wengine, itapelekea yeye kuathirika kisaikolojia kama tu...