Wakuu,
Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi?
Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo.
Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active.
Wanaomfahamu...
Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi
Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea...
MAJINA YA GIRLS/WOMEN NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI
1.Nancy - Muongo
2.Julieth - Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza...
Mambo vipi wanachit chat.Bila shaka mko Salama.
Kupitia Uzi huu hebu tueleze ukweli ni jukwaa gani ukiingia JF lazima liwe la kwanza kuperuzi??.
Naanza na Mimi mwenyewe .Binafsi kuna vitu huwa...
Habari wana MMU je, wewe mwanaume wa JF ni mwanamke gani wa JF ungependa kukutana naye hivyo hivyo kwa mwanamke ni mwanaume gani wa JF ungetamani kukutana naye?
Nawasalimu kwa jina la katiba mpya#Mbowe siyo gaidi.
Huu ni uzi wa memes kali.Screenshot memes kali then uzitupie kwenye uzi huu ili tufurahi pamoja lkn,tuendelee kumuombea Mh.Mbowe kwa kuwa yupo...
Nimeshangaa kuona kuna watu wana likes zaidi ya laki na nikashangaa wengine hawana hata likes 20 hawana na ukute account ina miaka 10.
Sasa mimi ni wakuja humu, najua Kuna wenyewe ombi langu...
Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye...
Niko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila katika kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF...
Wakuu Heshima mbele.
Kwa kweli miaka ya nyuma kidogo kabla ya kupoteza akaunti yangu ya Jamii forums. Nilikuwa napenda sana kumsoma jamaa mmoja anaitwa barafu.
Kwa waliokuwepo jamii forums miaka...
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na...
Ukitaka kupata tikiti lenye ladha nzuri i mean tamu, basi chagua lile lililo kubwa kubwa.Hii kitu ni ukweli mtupu, huwezi kulinganisha ladha ya tikiti dogo (hata kama limekomaa) na tikiti...
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala
Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala
1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini
Na...
Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama.
Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani...
Tuorodheshe tabia za waTanzania halisi
1 Anakukopa hela kiupole ila ukidai automatically unakua mtu mbaya kwake asiyefaa
2 Kabla hajajua cheo chako au wadhifa wako anakutreat kama takataka ila...