Inakuwajeee
Kuna kitu nimekiona hapa
Nimeona sisi Magreat thinkers, matajiri wa Jf kuna haja siku moja tukutane mahali fulani, itakuwa mahali gani? Ndo tukubaliane hapa. Je kila mtu aje na mkoko...
Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.
Wenzangu mmewahi kumbana na hili?
Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.
Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
👉I kwangu ni jamii...
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..
ujinga wa huyu rafiki...
Habari wadau wangu,
Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya...
Hapo zamani kuku na mwewe walikuwa marafiki. Siku moja kuku akaenda kuazima sindano ya kushona nguo kwa mwewe iliyokuwa ikitumiwa na ukoo mzima wa mwewe.
Kwa bahati mbaya ile sindano ikapotea...
Karibuni wana jukwaa tukumbushane tukio hili ambalo ni gumu kusahaulika kwenye maisha ya mtu. Pia, kuonyesha utofauti wa aina ya utongozaji wa zamani na sasa [emoji23][emoji23]
Dhumuni la uzi huu...
Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha.
Je, utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
Ingawa mimi sio mtu ninayeamini sana katika ndoto ila kama wewe unaamini basi watalaam wako wa mambo hayo ya kutafsiri ndoto wamesema Uvuvi na ndoano katika ndoto ni ishara kwamba mtu anayeota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.