Kijana mmoja wakati wa kijiandaa na mitihani ya kidato cha 4 alikuwa anasoma na wenzake usiku gheto. Huko gheto wenzi wakamfundiosha kuvuta bangi. Bangi ilipomkolea akachanganyikiwa akawa anasema...
Hali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae...
Aman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habari
Kuna wengine tumetokea familia fulan za kitata kinoma yaan za kichawi huwez amin
Mimi had kijijin kwetu wanazengo home walikuwa...
Siku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani...
Wakuu JF,
Na imani mpo salama, watu wamekuwa wana shauku ya kufahamu flani ni nani? Sasa kuna wakati hata pm zinajaa, maswali mengi ni ww ni nani?
Naomba niweke picha ndogo tu ambayo nina imani...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana...
Habarini wanandugu.
Ni juzi tu nimetoka kuvuta weed kwa mara ya kwanza, ilikua misokoto mitatu tu sasa ajabu leo nimeamka sijielewielewi kabisa yaani najihisi kama kufakufa.
Wadau naomba kwa...
Yeye ameandika kwenye kurasa zake, wewe unakwenda kufungua kusoma na kuanza kulalamikia alichoandika, ni kwa nini unatembelea ukurasa wake? Ni kama vile unakuta mtu anakulalamikia na kukuhukumu...
Huyu jamaa kama vile namuona akiwa kila mada ni mchangiaji wa kwanza kwa kwa Ku comment akiwa wa pili toka kwa mtoa mada.
Lakini kwasasa haonekani tena kwa kutoweka ghafla!
Hivi amebadili ID au...
Binti Wa kitanga hana makuu yeye
Leo yupo kikaangoni ila tunaomba utulivu utawale baadae tutatoa nafasi kwa member of the floor
Angalizo staha
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.