JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nitakosa raha,,usiku Utakuwa mrefu,,simu yangu huwa inanibembeleza,inanichekesha nikiingia zangu insta,WhatsApp Alieleta smartphone abarikiwe maana imetufanya wengine tutulie majumbani,umbea...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Kijana mmoja wakati wa kijiandaa na mitihani ya kidato cha 4 alikuwa anasoma na wenzake usiku gheto. Huko gheto wenzi wakamfundiosha kuvuta bangi. Bangi ilipomkolea akachanganyikiwa akawa anasema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa no 12[emoji23][emoji23][emoji23] sent using my[emoji336]
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
2 Reactions
496 Replies
27K Views
Hali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Husika na kichwa cha habari Kuna wengine tumetokea familia fulan za kitata kinoma yaan za kichawi huwez amin Mimi had kijijin kwetu wanazengo home walikuwa...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Siku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Mpoo wengiii Sana'a umundani iv inaezekana mpoo wangapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Wakuu JF, Na imani mpo salama, watu wamekuwa wana shauku ya kufahamu flani ni nani? Sasa kuna wakati hata pm zinajaa, maswali mengi ni ww ni nani? Naomba niweke picha ndogo tu ambayo nina imani...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Saa nne asubuhi hii nitakuwa Na bibie mumu katika interview be blessed! DJ sepetu
5 Reactions
341 Replies
14K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana...
8 Reactions
1K Replies
39K Views
Kuna watu mademu zao wanafanya mitihani leo. Mungu anawaona[emoji4]
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Nambiee kama umeionah io in call.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wanandugu. Ni juzi tu nimetoka kuvuta weed kwa mara ya kwanza, ilikua misokoto mitatu tu sasa ajabu leo nimeamka sijielewielewi kabisa yaani najihisi kama kufakufa. Wadau naomba kwa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Yeye ameandika kwenye kurasa zake, wewe unakwenda kufungua kusoma na kuanza kulalamikia alichoandika, ni kwa nini unatembelea ukurasa wake? Ni kama vile unakuta mtu anakulalamikia na kukuhukumu...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Haya mapenzi basi ya kisela Leo raha kesho wanisema Haya mapenzi basi ya kisela Leo raha kesho wanikera.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu jamaa kama vile namuona akiwa kila mada ni mchangiaji wa kwanza kwa kwa Ku comment akiwa wa pili toka kwa mtoa mada. Lakini kwasasa haonekani tena kwa kutoweka ghafla! Hivi amebadili ID au...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Binti Wa kitanga hana makuu yeye Leo yupo kikaangoni ila tunaomba utulivu utawale baadae tutatoa nafasi kwa member of the floor Angalizo staha Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
425 Replies
21K Views
Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba HUJALI KUONDOKA...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…