Katika mboga inayoaminika kuwa Na umuhimu kweny uongezaji wa damu mwilini basi MCHICHA ni miongoni mwa mboga hizo.
Mchicha ni muhimu kwa wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...
Wakuu kuna habari kuwa nahodha wa Taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizabeth Michel, Lulu. Habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na Lulu hapa Tegeta.
Je ni kweli na...
HATA USIPANIKI mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe....
Wewe wajali sana wale rafiki zake.... piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa...
Habari,
Wakuu, naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa East Africa radio Scola Kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG...
[emoji68][emoji65][emoji65][emoji68][emoji66][emoji65][emoji68][emoji66][emoji65] Nani kama mama ??
Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........
-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki...
wanabodi
nimekuwa nashangazwa sn km sio kustaajabu!au inaonyesha humu wengi wetu ni betri low
mtu anaweka thread yake nzuri lakini mwisho anasema sitaki matusi!
Au kama ukiona limekukera mezea na...
Kuna jamaa alikua dereva wa fuso akawapa lifti wasambaa nane, akawapandisha kwenye bodi lakini akawaambia kwa kuwa sheria haziruhusu gari ya mizigo kupakia abiria tena nyuma basi itabidi wakae...
....Kama Jina Lako Alex Na Una Miaka 24 Na Uliomba Kazi Kiwanda Cha Nguo.
Napenda Tu Kukuarifu Kuwa Nakula Chapati Hapa Zilizofungwa Kwenye Barua Yako Ya...
*Niko na demu hapa natongoza. Ananiambia kwanini nakuja kumtongoza yeye wakati nna mke wangu? Na mie nimemjibu kwani ukienda kununua nguo unaenda uchi?*
Anacheka tu hapa nadhani ashanielewa...
*Leo ni siku njema sana kwangu nimeenda kupima ukimwi kitu ambacho wengi wenu mnaogopa nimerudi na furaha tele baada ya kukuta hospitali imefungwa.![emoji23][emoji23][emoji23]*
2 Timotheo:4.2...
Salamu wa jf
Nina jirani yangu anampenda sana mkewe anamfanyia kila kitu ambacho kina stahili kwa mke anampa kila kitu kama mume ila mke wake anawivu balaa leo asubuhi mke kamuamshia dude mumewe...
Juzi kati tulipata mwaliko wa harusi Mimi na yule shost wa kusukana nywele Huku kwetu Kwamtogole. Shost ni housegirl kwenye nyumba ya pedeshee, sasa mtoto wa boss wake anaolewa ndiopo Sky...
Hot news iliyopo sasa ni tukio la mwanamama aliyeshindwa kuhimili pressure na misukosuko hivyo aliamua kwenda kwa mganga ili amsaidie nyumba waliyokuwa wanaishi isipigwe mnada.
*Awali ya yote...
Wakuu haina haja ya kutapeliana...
Unataka Assist?
Njoo omba hapa upewe...
ha ha ha ha...
Nampenda mke wangu shansarie!!
She is the Best assistant I never had.
Wakuu leo nimeona nivute UZI huu hapa kwa miniajili ya kutubu baadhi yetu tuliowahi kufanya makosa ya kuharibu mali za shule ikiwa ni kuharibu vitanda, milango, viti madawati, nk kwenye shule...
Wasalaam wakuu na wasiowakuu humu ndani ya ngome.mlioniulizia ni kwamba nilikua nje ya nchi kuwasalimu baadhi ya wanangu sasa nimerudi na mapene.njoeni tujidai hapa sinza kamanyora
Sent using...