Sio joke, ila najiuliza: hivi Wahindi kwao kula kitimoto sio kinyume ya imani yao? Yaani mida hii nipo sehemu hapa Dar es Salaam, naona Wahindi wapo wanafakamia kiti moto ile mbaya!
Ladies if u visit ur boyfriend and he immediately puts ur shoes inside the house, and closes the door immediately baby u r a side chic....
If u want to argue go argue with ur ancestors period...
Niaje masela aman iwe nanyi katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyojieleza hapo juu
Kuna watu huwa ni wazee wa fix ile mbaya sio wakubwa tu pia kuna vijana na wazee wana fix kinoma...
Nakumbuka kitambo Sana enz nasoma vossa enz izo
Kila siku ilikua lazma pasta ahubir mstalini baada ya mapambio baada hapo yanafuata tena mapambio na kuingia klass
Waaaoh it was wonderful
Siku...
Mtaani Watoto wakiwa wanashindana kwenye michezo, mmoja akisema "Mi Magufuli" mwingine anasema "Mimi Tundu Lissu"...Aliyesema Magufuli, anasema basi mi sichezi...
karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na...
hivi yule muhenga aliyesema "hata vikombe kabatini hugongana" alifikilia nini mpaka akasema hivyo???
nimeweka glass mbili kabatini mpaka leo bado vipo pale pale havijahama wala kugusana, sasa huyu...
kaa tayari, kaa kwa tahadhari! attention jitu baya limevamia ndani ya nyumba
oi anaejua mda aniambie saangapi hapo nataka nisonge ugali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.