Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye...
Nimekula huyu mdudu noah old model sehemu nyingi hapa tz ila leo nimetafuna huyu mdudu hapa ni mtamu balaa! Ndizi pembeni,novida na kachumbari. Ashukuriwe muumba kwa kutuletea huyu kiumbe. Na...
Hawa ni pamoja na rais wa Yanga ndugu Manji, rais wa Simba Aveva, rais wa TFF Malinzi na yule rais wa TLS aitwaye Lisu lakini huyu hausishwi na ufisadi bali uchunguzi ukikamilika tutajulishwa kosa...
Habari zenu viongozi,
Kila kitu kina faida yake na hasara.
Ni katika tukio lililotokea juzi, katika maeneo ya kipawa, majira ya saa nne asubuhi.
Ni katika majukumu ya kila siku, ya kutafuta...
1. Nilipata ajira kupitia ulevi na mlevi mwenzangu
2. Nilifanya maamuzi ya kuoa nikiwa nimelewa, na sasa nina familia
3. Nilinunua viwanja viwili mjini Dsm na nikajenga kupitia mlevi mwenzangu...
Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
HATA USIPANIKI mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe....
Wewe wajali sana wale rafiki zake.... piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa...
Aseeh, ukiishi mtaani kuna mambo mengi yanatokea saana kimtaa kimtaa maana utakutana na watu wanahasira, wanaokera na wanaoonea watu bila sababu. Mimi kupiga kupigwa yameshanitokea saana...
Hawajuani kwa sura,hata picha tu,hawajawahi hata kubadilishana namba isitoshe hata uko PM hawajahi kuchati...Kinachoshangaza unakuta mtu anakumaindi akiona unachombeza kwa anayemuita mpenzi...
Sitaki kuamini ulimwengu unavyoamini naamini inawezekana, nakutafuta uwe muumini wa Kanisa la kristo, uwe unautaifa wa Asia au Latin America, nakutafuta si uwe mwenzi waku isipokuwa mke wangu na...
A Sukuma friend of mine from Kahama recently bought a new Toyota Premio car (automatic). He drives the car perfectly well during the day but at night the car just won't move.
He tried everything...
Kichwa cha habari kinajieleza. ..nashauri kama kweli nnchi ina nia ya kuwa ya viwanda lazima "minds" za wananchi zielekezwe huko.
Vipindi vya redio ambazo nyingi ndio husikilizwa zaidi ziwe na...
Hallow Mtwara!
Nataraji kuwa Mtwara Mjini kuanzia Tar.25 September Mungu akipenda! Ni mara yangu ya mwanzo kufika Mtwara.
Kwa yeyote anayejua maeneo mjini Mtwara ambako naweza kutembelea japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.