1. Baada ya kufanya kazi siku 30, unafukuzwa kazi bila mshahara
2. Ukiwa una download kitu kwenye net, inafika 99% alafu inagoma
3. Unaingia na kibomu kwenye pepa halafu unashindwa kuelewa...
Habari za jioni wana JF
Imetokea nikapata tafakari (reminisce) utamu wa maisha yetu ya kale. Pale ambapo ulikua unajiandaa kwenda shule asubuhi, kwa mbaali unasikia kipindi cha "mazungumzo baada...
Hakika penye wahenga hapaharibiki neno na pana kila aina ya hekima, ni msimu huu ambapo nimekumbana na maneno na picha mbalimbali juu ya ya wahenga wetu, hata hivyo baadhi ya nukuu, miongozi na...
Naaje Wana chit chat I think mpo good kabisa ama nini ":"
Kama kichwa cha hii thread kinavyoonyesha na kujitosheleza au sio
So wale Gangsters na bad boyz wanaume wanaojikubali Kinoma
tukutane...
kama nimepost thread yangu alafu naona 37 replies na 3000 views nyie viewers ni hater tu au kama vipi nipeni if viewers choice award kama rayvanny, mana mnajitia hamtaki kuchangia thread kama...
Wanajukwaa bila hata salamu, kama kichwa kinavojieleza, ni avatar ya member gani humu JF imewahi kukuacha mdomo wazi, kukustaajabisha, kukupa maswali lukuki?
Mimi binafsi nilishangaa nilipoona...
Kwenye sherehe/ harusi za kibongo bongo, unaweza kujihudumia vyakula vyoote lakini ukifika kwenye beseni la nyama utakuta kuna mhudumu wa kike tena mzuri kasimama ili akupimie.
Hivi ni kwanini?
Kwa wale wanaume wanaopenda kitonga, sikuizi mbinu rahisi za kumchuna mwanke ni kumgegeda vizuri alafu unamwambia akukope hela. Akikupa tu humrudishii na kesho yake unamkopa tena. Hapo utakuwa...
-Umepata mtoto funga mdomo wako!
-Umeoa au kuolewa funga mdomo wako!
-Umepata kazi au umekuwa promoted funga mdomo wako!
-Unampenzi unampenda sana usimuweke kwenye social networks,Funga mdomo...