Salaam wana jukwaa
Jamani mwenzenu nina tatizo linalonisumbua ni zaidi ya mteja wa unga na hili tatizo limeshaniletea matatizo na aibu kama mara kibao mpaka nyumbani na mke wangu
Mimi uteja wangu...
joseverest.
Huyu jamaa kila uzi yupo, hakwepeki aisee kama MAJI vile. Afu mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kureply kwenye kila uzi atakaokatiza.
Mimi binafsi namuelewa member huyu,sijui wenzangu?
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.
Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu
unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi...
*Asubuhi wakati wa kuingia kazini*
SAIMON SIRO kampigia saluti bosi wake ERNEST MANGU.
*Jioni wakati wa kutoka kazini*
ERNEST MANGU kampigia saluti bosi wake SAIMON SIRRO.
hapa sasa ndo...
Ndg zangu tushirikiane maajabu ya mji wa Dar
Mimi naona watu hawatembei mahali kwa mguu hata kama umbali ni Mdogo
Kila sehemu nyumba zimejaa yaani hatupumui
Bodaboda wa Dar pamoja na watembea...
Matatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala
Gafla mtoto kaamka
Mtoto:mama nataka nikakojoe
Mama:chukua tochi hapo uende
Mtoto:akanyoosha mkono anaazakupapasa kumbe baba...
Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.
Kama na wewe...
*Ukiona mpenzi wako mpya anataka kujua habari za mpenzi wako wa nyuma*
*Huyo hayupo kimapenzi ni mwandishi wa habari mwambie sikuwahi kurecord [emoji23][emoji23][emoji23]*
Habari
Kuna ka mtindo hapa kameanzishwa na memba humu kututishia kwamba wanaacha kutumia jf
Katika uchunguzi wangu niliofanya nikagundua yafuatayo:
1. Unatumia simu, laptop, au mfano wake ila...
Asalaam Alaykum
Twamshukuru allah Leo tukiwa Katika Swaum Ya 4 alhamdulillah
Tangazo Maalum kwa waislam woote
Siku Ya Jmosi Ya mwisho Wa Week Hii
Nitazindua Rasmi Muhadhara wangu Wakwanza...