Habari wakuu,kichwa cha habari hapo Juu kinajieleza,binafsi namchagua huyu jamaa Joseverest...kwa sababu ya ushapu wake wa kuwa #1 kureply kwa kila uzi unaoanzishwa hapa Jf kwa majukwaa...
Wa daslamu mnajidanganya...Msifikiri kwamba nyie mnamaisha mazuri kuliko watu wengine wa pembezoni.. Nyie mnajifariji na stalehe.. Pasipo kujua kwamba mikoani kuna stalehe zaidi ata ya hizo za...
Naombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?
Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag...
Hebu tuambiane hapa siku ya kwanza kukutana na mkeo,mumeo au mpenzi wako,
Mlikutana wapi na kwenye mazingira gani?
Ni kipi kilikuunganisha nae.
Ilikuwaje hadi mkawa wapenzi.
Karibuni.
Hivi huu msemo maana yake halisi ni ipi hasa.
Utawasikia wadada wakisema oh nimemchamba.
Mantiki yake hasa ni ipi eti?
Mnaposema kumchamba mtu ndo kumfanyaje hasa??
Kwa kweli huwa...
Mheshimiwa mbunge wa Arusha Godbless Lema akichangia hoja alinukuu kwa kirefu mistari ya biblia. Mistari hiyo ikamkuna mheshimiwa Simbachawene ambaye naye alinukuu mstari kwenye biblia.Lema kaona...
*Mzee wa watu alichora nembo ya Taifa tumekuja kujua kipindi hiki tangu ujana wake hatumjui tena tumemjua baada ya kuumwa sana mpaka umauti ulipo mfikia*
*Wewe umechora Tattoo tu unatukalia...
Hapo ulipo hakuna hata anesema wewe ni mzuri ila iba uone
Utasikia "halafu mkaka mwenyewe mzuri tu sijui kwanini anaiba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Ujinga ni bae kuishi ghetto unatoka kwake asubuhi unaskia wamama wa plot wakisema afadhali huyu hakumpigisha kelele kama hao wengine
#Ujinga ni pale Mpenzi wako anapo-Post kuwa REAL MEN are...
Nimepitia njia ya police station,,
nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,,
sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university of Dar es...
Je ni vitu gani ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja
Mimi binafsi siwezi kula huku nachat, kusoma wakat na angalia tv
je wewe ni vipi ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja
twende sawa......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.