Niaje masela wangu kama dawa kama kawa nyie ndo watoa max wangu na kasichana kokote kanakonidatisha huwa nakaleta humu ili mkachambue na kunipa macoment na maushauli yenu
Kuna haka kasichana...
Nianze na Salam.
Nimebahatika kusafiri kidogo hapa nchini kwetu,kusini,kaskazini,magharibi mpaka mashariki. Tangazo kubwa ninaloliona kwenye miti na mistimu ya umeme ni la waganga wakienyeji...
Wakati tukiwa tunasoma kila mtu alikuwa na sifa zake na tabia ambazo zilifahamika sana kwa wanafunzi wenzako
.
Mfano Mimi nilipokuwa shule nilikuaga mpiga kelele sugu darasan
.Nilikuaga siandiki...
Haya sasa kazi kwenu Shilawadu ....msichelewe kubalance story ...
sisi wala ubuyu tunausubiri kwa hamu...
TUMEMUONA TUMEMUONA ...MWENYEKITI MWENYEKITI SIO MTU WA MCHEZOMCHEZO ..(Kwa sauti ya...
Kuota ndoto ni jambo ambalo kila mwanadamu hulifanya, hata wale ambao wanasema kuwa hawaoti. They do, they just don't remember their dreams.
Kuna tafiti zinaonyesha kuwa hata, wanyama mbalimbali...
Kiukweli walimu huwa wanakuwa na majina mengi ya utani, sijui kama wao huwa wanapata wasaa wa kuyasikia..
Nakumbuka Primary tulikuwa na Mwalimu mlemavu wa mguu, tukawa tunamuita Kapisto...
Wewe ni Mwalimu wa Chekechekea .Vinakuja vitoto viwili cha Kike na Kiume huku vikibishana. Vinapofika kwako mambo yanakuwa hivi;
Kasichana: Eti mwalimu mtu akifanya mapenzi katika umri wetu...
Karibuni wajanja wote tulio acha kupiga mastarbation,tujipongeze kwa maisha bila punyeto ni safi
Tuweze kushare uliacha lini na ulipiga kwa muda gani
2:Je wajisikiaje kuacha punyeto
3:je umepiga...
Poleni sana na swaumu wana JF,
Ila katika pitapita yangu humu JF huwa naona thread tofauti tofauti lakini nimebaini kwamba zile za mapenzi na mahusiono ndo unakuta reply kibao.
Hivi ni kweli...
mwandishi: hebu tueleze mh RC ilikuwaje ukavamia Clouds Media
DAB: tumesikiliza kero za wananchi na tumekubaliana kupunguza bei ya maji kuanzia sasa unit moja itakuwa 1k tofauti na bei ya zamani...
Eleza ilikuaje.
Mimi nilitapeliwa dumu zima la mafuta ya kupikia ambayo mdingi aliniagiza nikayachukue kwa rafiki yake mmoja kibamba. Sasa nilivyofika nayo k.koo, ndio mchezo ulichezeka hapo...
Habari
Mwaka 2011 wakati namaliza A level nili-bashite haswa nikawa sina chaguo lingine zaidi ya kwenda kusoma ualimu wa primary.
Nilipohitimu nilipangiwa kwenda kufanya english medium moja...
Uzi Makini.
1: Ukiwa na jini mahaba wa kike kama wewe ni mwanaume basi jua wew utakuwa domo zege siku zote Na huwezi kukubaliwa na mwanamke hata siku moja inasemekana ukiwa naye anakufanya uwe...
Sio lazima kila siku uchangiee mada iliyopo, unaweza kuwa na yako yamekutingaa unatupiaa hapaa.
Yaani ni full kutoa mastress, ukiamua kulia we lia hapaa, cheka hapa, tukana hapaa, jamba hapaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.