JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sometimes serious sometime kidding hayo ndo maisha yabinadamu. Hivi kwa mfano vitufe au kwalugha nyingine button za computer zingelikuwa katika maisha yabinadamu wewe ungelitumia button zipi...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
wale WA MWEZI JUNE NA JUNE 06. ONA MAMBO HAYA:- 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15. 16. 17. 18. Historia kwa kiswahili tutaonana.. Enjoy 06...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hakuna kitu kinacho tufurahisha sisi wanaume kama kuwa na demu mpya chumbani. Tena huyo demu akwambie "hebu funga huo mlango vizur bhn" yaani unaweza kuvunjika mguu kwa furaha.. Cjui nyie wanawake...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
IVI MIAKA IJAYO NA SISI TUTAITWA WAHENGA.utaskia wahenga walisema *JAZA UJAZWE*
1 Reactions
3 Replies
782 Views
Watu hua tunachagua sana kazi, kazi zingine tunaziona hazina hadhi hivyo wengi hua hatuzifanyi. Wale tuliowahi kuzifanya kitu kikuu tulichogundua ni kua anayefanya hizi kazi ana uhakika wa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna mtoto wa familia ya "mboga saba" anaitwa hilo jina na nimemuuliza maana yake nimejibiwa "sijui mama mwenyewe". Nimejaribu kugoogle lakini nimeshindwa kupata maana yake. Anayejua tafadhali.
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Wahaya wamezidi sifa jamani khah!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k
13 Reactions
31 Replies
6K Views
Jamani hebu tuchangamshe ubongo ili usilale. Kwa sababu tunauhitaji ukae active usiku na mchana katika mapambano haya ya kumkomoa nyani gladi... kwa hiyo kuna ka-puzzle kakishikaji hapa chini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
7 Reactions
545 Replies
22K Views
Heshima kwenu wakuu nimeona nianzishe huu uzi wa Heka heka uwe special kwetu wana jf wote ili kupeana taarifa na matukio yanayo tukuta katika familia zetu na jamii kwa ujumla kama una heka heka...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Za jioni ba ndugu? Kwa nini watu wanaaga humu jf alafu unawaona online?au wanauzia watu account zao?au wanarithisha ndugu zao?
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Hbr Zenu.Mtu Umepewa Hela Ya Kununua Mahitaji Ya Vyombo Vya Nyumbani Halafu Sisi Wa Nyumbani Tunatumia Ma Plastic Tunakula Chemicals Wageni Dongo,kioo Kwanini Jamani?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Chepuka leo na mchepuko wako hapa kama hauna mchepuko tafuta hapa najua tu utapata ukitangaza dau.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari Kichwa cha cha habari chahusika plz kama kuna anaye jua naomba kuwafahamu!! AHSANTE!!
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Where We Dare to Talk Openly. Leo katika kutazama tazama hapa na pale nikaona statistics baadhi zimebaki vile vile zingine zinabadilika badilika mda na mda. Most Messages. Most likes...
0 Reactions
7 Replies
800 Views
Leo nikiwa nimechoka zangu nikajiamulia kupiga simu police. Mimi. Hellow Afande niko hapa naona watu kibao wamekufa na wamefukiwa mchanga.. Afande. Tuambie mkuu mahali ulipo tuje sasa hivi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
...,................. [emoji120] [emoji120] When God calls you to be free from fear as you do evangelism, as you take a test, as you face a job interview, as you take a stand against an unjust...
1 Reactions
3 Replies
455 Views
Back
Top Bottom