Katika kutafta fadhila za mwezi huu,nimeona heri ni waalike mje kula daku,kutokana na ftari wengi washajitolea kufutulisha ,acha na mie niwalishe Daku ,kwa mwenye kuweza karibu mida Sita usiku...
Katika pita pita zangu humu ndani Ni
metokea kuona watu wenye ID za ajabu sijapata kuona hizi ni baadhi...!
.
1.Kazitunayo
2.sigara kali
3.tamuu
4.simba.asiyefugika
5.pumzi haiuzwii
6.Ngozi Mbili...
Paul: Do u drink beer?
Patrick: Oh yes.
Paul: How many bottles per day?
Patrick: 5
Paul: When did u start drinking beer?
Patrick: 18yrs back.
Paul: How much is a bottle?
Patrick: 3000/-
Paul...
Hakuna kitu kinacho tufurahisha sisi wanaume kama kuwa na demu mpya chumbani. Tena huyo demu akwambie "hebu funga huo mlango vizur bhn"
yaani unaweza kuvunjika mguu kwa furaha..
Cjui nyie wanawake...
Kipindi kile Mwakyembe alipokuwa waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Phone Book yake ilikuwa na majina haya
Eng: Mwakitalu
Dr: Lusingo
Prof:Ambalisye
Eng: Mushi
Contractor Mabula
n.k...
Mimi ni mgeni katika mkoa mmojawapo hapa kanda ya ziwa sijachunguza vizuri jinsi hawa watu walivyo si unajua macho hayana pazia,nikaona demu mkalii yaan yupo vizuri chocolate mrefu mnene.si...
1. Raise a child for 25 yrs then find out that he's/she's not yours.
2. Work hard for the whole a year and go to ATM and be robbed.
3. After keeping your virginity for more than 25yrs and...
Kuna tukio ambalo liliwahi kunitokea nimelikumbuka ghafla
Kuna mahala palitokea msiba na nilienda kuhudhuria msiba huo kama mnavyofahamu tulilala pale msibani ili kesho yake tuzike na kufuatilia...
Habari zenu wapendwa na poleni na mihangaiko.
Jumamosi iliopita nilienda kwa rafiki yangu na nikakuta wanauza vipaka vyenye takribani wiki mbili toka vizaliwe, Vile vipata vina rangi nzuri...
Awamu hii tunajifunza mengi sana!! Viongozi wetu ukiwauliza hiki wanakujibu kile!! Kwa mfano waziri wa viwanda ukimuuliza maendeleo ya viwanda walivyoahidi anakujibu vyungu vya kukaangia karanga...
Chit chat...
Tumezoea humu jf sio kam facebook au insta kila kitu ndiyooo kam watu wanafahamiana,huwa hawaaibishani just like kam bungeni.ila sisi huku jf huwa watu,wanajibu comments hovyo wengine...
I salute u all!!!?
back to topic
jamani leo nilikua busy na babe wangu kwa muda, hatukutaka usumbufu kwa namna moja au nyinngine, ukizingatia leo cku yake muhim ya kumbukumbu ya kuzaliwa...
Kama mada inavyo jieleza kuna ubaya wowote mwanaume kupewa pesa za kutumia na mwanamke.
Maana napata wakati mgumu kuchukua pesa anayo nipa dem wangu ingawa napenda pesa..naogopa kutangazwa bure..
PUMZIKO LYRICS BY LADY JAY DEE
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.