MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu...
leo nimeenda kusaga mahindii nikamuita we msagajii nashangaaa niko nyumbn majirani wanaulizan yule jamaaa ndo anaroho mbaya iviiii
cjuii kuna nn kinaendelea mie nimelal zangu ndani cwez...
*THE VENEX INTERNATIONAL SCHOOLS*
Hii ni shule ya wajerumani ambayo wameianzisha tanzania katika mikoa 10 (DSM,,MOROGORO,,DODOMA,,MBEYA,,IRINGA,,SINGIDA,,MWANZA,,,,KAGERA,,GEITA KILIMANJARO NA...
*Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)...Tunapenda kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani"*..........
Evening Great Thinkers.Yani Nimefunga Siku 4 Kidogo Nife Mabega Yanauma Ikifika Saa Nane Navuta Stimu Za Utamu Wa Ugali Na Samaki Samahani Jf Kwa Niliowakwaza Kuji Express.
Wakurya watatu wakiwa kwenye daladala...
Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa..
Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"...
Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka...
Kilicho tokea leo...
Kuna jirani yaani anaumwa sana sasa akaomba aitiwe mganga wa kienyeji..mganga kaja na kumwambia kuwa hawezi kupona ugonjwa wake labda tu huo ugonjwa wa uhamishe kwa mtu...
*Pale unapo weka CD ya X kwenye deki alafu ghafla umeme unakatika! hapo ndo pale unapo jikuta ukitembea na deki kwenye begi kama laptop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Sitaki kupoteza mda wenu kwann haya maneno ni marufu sana humu ndan, kwanini menyewe ndo yapate umarufu kushinda mengine
Maneno menyewe ni
Papuchi
Kipoch manyoya
Bashite
USA BABY
Nawasilisha...
Jana nimmesikia kaka anasema baba nimepata mchumba ila uko mtaa wa pili sio mbali na nyumbani, Basi baba akamjibu bro hongera mtoto wangu ehe! Yukoje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila una...
Katika maisha yetu hapa duniani kuna vitu ambavyo tumeumbiwa na ni lazima tuvifanye,
Mfano: Kula, kulala,kuoga n,k
Sasa kuna vingine huwa tunafanya tu kwasababu ni lazima ila hatuvipendi sasa...
Je......
Damu zao zimeendana?
Wameridhiana Kimahaba?
Wana Mapenzi ya dhati?
Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu?
Wamerogana na labda Uchawi au umegongana...
:DHabari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo.
Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili...
Jaman kuna voice recorded inasambaa mitandaoni sauti yangu ikimtongoza Nick Minaji please puuzen ni watu tu wanataka kushusha hadhi yangu
[emoji36][emoji36][emoji36]
Wadau kuna sound klip moja ya kijinga sana mbapo mshkaji mmoja anaongea vitu kama yupo serious lakin vtu havirelate
Anasema "upepo... mwenyewe umekaa pale unacheka vhini unakuta feni inazunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.