JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nikiwa Mbeya nikakutana na mtu amempa jina mwanae *'Atuacacia Mwamakinikia* Wanyakyusa wapo very updated kwenye majina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ni kwa wanaume ila mwanamke anaweza kusoma na kujifunza kuwa wanaume wote ni waaminifu. Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahati mbaya panga likadondokea mtoni, akaanza...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Sijui Kama ushawahi fall in love ile haswaa… yaani unampenda mtoto hadi akikupigia simu ile sauti ilivyo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu. Akikuita tu "my love" unajiskia tu kuvua...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni kwa kutokuwa mzalendo hasa alipokuja bwana "tothorn" kumsalimia Yohana kwenye makazi yake. Huyu bwana (ras simba) ana kanuni yake moja hivi ikitumika humuwezesha mtu "kutema yai balaa" Sasa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
3 Reactions
6 Replies
1K Views
haya ndio maisha ya kila siku kwa serikali na raia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa nachenjua makinikia guest house na acacia wangu Mara ghafla nyoka akapita pembeni acacia wangu akapiga kelele muhudumu akaja na watu wakajaa Sana imesemekana nilikuwa nachenjua Bila...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Lakini sisi wanaume hatuko fair kabisa… Yani demu anang’ang’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. Sijui ziletwe Makeups za matako?...
0 Reactions
5 Replies
867 Views
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana...
1 Reactions
94 Replies
10K Views
Kama ulikuwa unadhani kuwa Couple ambayo inatishia tu amani humu JF ni ile ya The bold na Nifah pekee utakuwa umekengeuka / umepotoka kabisa kwani kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Couple mpya...
14 Reactions
932 Replies
32K Views
Embu tujifunze majina Ya Ndizi Kisukari kwa makabila tofauti tofauti Kikwenu Unaiitaje ??
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Karibuni Kibiti ndugu zangu ... huku viwanja ni bure kabisa!
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarin wakuu, Najua watu tunajifunza mambo mengi mazuri kuhusu maisha kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii. Kupitia uzi huu tujuzane mitandao mingine yakijamii tunayo ifahamu mbali na Twitter...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
*Dada mmoja kachoka vituko vya mumewe akamwambia 'bora ningeolewa na shetani kuliko wewe'...mumewe akajibu 'dini haziruhusu mtu kuolewa na ndugu yake'...* [emoji23][emoji23][emoji23].
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Lugha za watu si kazi ndogo kuendana nazo
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimatumaini yangu wote ( Jf members) mpo vema.Leo tuhamishe mawazo yetu kidogo toka kwenye siasa na kufikiria vitu vingine tofauti na siasa.Binafsi siasa za hapa kwetu (Tz), zina nichosha day...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa..!! Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Leo naomba iniwekee misemo uliyowahi kukutanana nayo ikakufurahisha, kuchekesha au ilikushangaza.. Mimi naanza na huu hapa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom