Mnakumbuka juzi kati hapa niliwaandikia thread ya mwanamke alikuwa wa kwanza kumshawishi bwanake na wana harusi leo jumamosi?!
Kwa mliomiss link hii hapa Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fastaa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sijawahi kumuona mrangi mwenye sauti nzito au base
Wote wanaume na wanawake sauti zao nyembamba na nyororo
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya jamii hii...
Kuna ukweli wowote hapa kwamba Watu wenye roho nzuri sana maishani huwa na Sura mbaya / zisizo na Mvuto ila wale wenye roho mbaya, wakatili, wezi na wanafiki huwa na Sura nzuri / zinazovutia sana...
Unataka kujua Nini kitakuua ?
Kama unata kujua Nini kitakuua fuatilia hii
Andika HOWRIP. CO/kisha andika jina lako itakuja picha inayoonyesha Tukio la kifo chako
Zingatia hutakiwi kuruka nafasi...
Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee.
Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa...
Najua waliitwa Majambazi kwa tabia zao mbaya za kupora watu kwa kutumia silaha ndio maana jina lao bayaa!!....Hivi MAJAMBAZI WANA SURA GANI? Yaani wanafananaje? Ni mijituu mikubwa mikubwa yaani...
Naamini kabisa kwamba wote tuliopo humu jf tuna umuhimu wetu kwa namna moja au nyingine ila hata hivyo haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya wenzetu humu ( members ) ambao michango yao na...
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na...
Uuh ni Uzi maalumu wa kikaango humu Jf kila siku itawekwa update ya mtu wa kukaangwa humu,
Leo tunaanza na MSHANA JR
mwenye swali lolote kumuhusu Mshana Jr na kama unaitaji kujua chochote...
Habari za mchana ndugu zangu naamini mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa.
Kwa waliobahatika kukutana na elimu ya viumbehai (biology) washawahi kukutana na msamiati huu distinctive...
Habari Wakuu!
Binafsi namuona Mh. Andrew Chenge sio mtu wa kawaida kabisa, kila aina ya kashfa ya Ufisadi ktk nchi hii basi jina lake linahusishwa. Na kwa bahati mbaya au nzuri inaonesha huyu...
Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap.
Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza...
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.