wadau amani kwenu
jana niliamka mapema asubuhi nikaamua kufanya usafi kuzuunguka nyumba yangu kabla ya kufungua biashara yangu duka
Baada ya kufanya usafi mama watoto akaniambia chai na mihogo...
*Kinacho udhi kwenye kazi ya uwalimu ni pale unapo kuwa darasani unafundisha, anakuja mwalimu mwenzako anakuambia*
*KUMBE UPO PERIOD, endelea kwanza nitakuona baadae*
1.Paka akiwa mnene na manyoya mengi ni paka wa kizungu lakini paka aliyekondeana mchafu ni paka wa kiswahili.
2.kuku anayewekwa mahali safi ,analindwa ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda...
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA...
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona...
Nikikumbuka nilivyo saidia kubeba mahari bila kujua kuwa zilikua zinaenda kwao na mpenz wang..kumbe alikua ana poswa siku hyo.mwili hua una sisismuka kwa hasira ila ndo basi tena yalishapita.
We...
Binafsi kuna kosa ambalo laiti kama ningehojiwa Leo basi ningepata Taabu sana kujitetea.
Kuna Fundi nimebeba kichwa cha cherehani kisa deni LA 50000 ila amekomboa
Pamoja na hayo nikakumbuka kale...
Naamini nyote mu wazima na mnamatumaini tele na hizi pesa za makinikia. Wengi wanasubiria Noah zao pale.
Tafadhali naomba kila mmoja aseme atapenda kuzitumia vipi pesa zake za makinikia,maana...
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu...
majirani zetu wamejaribu kusubiri mema ya nchi wamejipanga kwa kununua passport. Wengine wamekwenda mbali zaidi mpaka kupata hati ya mahakama kutumia ubin wa Nyerere.
Hali hii ilivyombaya......duuh yaani hadi panya wameamua kunikimbia...hapa nimebakiwa na shingtano ya mwinyi
Nawaza sijui magufuli . aseme RUKSAaaaaa tuuuuu,
Niko upset jaman!! Nipen ushaur wa buree nifanyaje...Najifeel bored na kila kitu!!..
Wanaoweza kunirudisha kwenye mood mapinfuzi ya fikra yaendelee nisaidien
Chochote kinachoweza change my mood
Sasa hivi ukitaka kupiga sound demu unatumia maneno haya yanayokwenda na wakati
Vita ya kutazama uzuri wako haijawahi kuziacha hisia zangu salama.
Nipe makinikia ya moyo wako.
Naahidi kulipa...
Habari za Jumapili Ndugu Zangu WanaJF.
Ni Tumaini Langu kuwa mpo sawa na Mnaendelea vema na harakati za kila siku za kutafuta Riziki na Mkate wa kila siku.
Mwenzenu mimi Kiufupi Nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.