Hi wapendwa.
Kila mtu anaeneo lake fulani kwenye mwili ambalo hapendi kabisa kuguswa,mfano mimi sipendi uniguse ndani ya kwapa zangu maana kitakachofuata hapo ni shida tu msisimko hatari.
Je wewe...
1. Ukiona umerusha mada ikaanza kuchangiwa kwa kuungwa mkono ujue mwisho wake huenda ikaishia kwa kupingwa sana... Hii huenda nachangiwa na kwamba kuna wachangiaji wamejipanga kiitikadi yaani kama...
Kwa tuliopitia primary na secondary enzi za mkapa kurudi chini, ilkuwa kama fashion, Kila mwanafunzi alitamani kumiliki "mkebe" au "compass" (geometry box) Japokuwa wengi wetu hatukuwai kuzitumia...
Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu...
Habari wana Jf!
Shukrani Ziwafikiwe Wana Mara Wote Hasa Kwa Ndugu Zetu Wanaserengeti Kwa Kutupokea Vizuri,
Tuliandaliwa Chakula " UGALI" wa mtama uliochanganywa na unga wa mihogo na...
Wasalaam wana chit chat
hebu twende kwenye mada yenyewe je ni sehem gani ambayo ukiwa hua hupendi upuuzi a.k.a majaribu.
Mm binafsi ni chooni.siku moja nikiwa chooni nikasikia mlango ukigongwa...
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na...
*```Status zilizokiki kipindi cha JK```*
1. Nikiwa beach napunga upepo
2. With my kids enjoying the day
3. Wakati nipo na masela tukichafua Meza si mchezooo
4. Nikiwa natoka Airport kwenda home...
Huu ni uzi maalum kwa vile vimsemo vilivyosambaa mitandaoni vinavyoanza na ujinga ni pale.......nk
Nawewe tupia hapa ili twende sambamba................
Kwamfano.
Ujinga ni pale...
*Nimefika uBungo stand ya mabasi wapiga debe wanasumbua sana wananiulza naenda wapi nkajibu ZANZIBAR.*
*.nmewaacha nawaskia wanataja sehem za siri za binadamu itakua wanakumbushana biology*...
Hapa JamiiForums nilisoma shairi moja linasema "kunde mmempa wenyewe akijamba mwalalamika, acheni ajambe asafise tumbo".
Shairi hili lina mantiki kubwa sana ndiyo maana walikuwapo wa kumkamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.