Natumaini muwazima wa afya njema,
Ni katika suala ambalo mwanamume analichukia kupita maelezo.
Mwanamume ukimgusa ama kumshika sehemu ya makalio hakika hamtoelewana kabisa.
Hata kama ni...
Back in days uko ndo tumeanza first year LL.B moja, huku na huku nakutana na msichna mmoja mzuri dunia nzima, yaani kila jicho lilikua linamtazama mule class wote ndo hatujuani juani iv, na mie...
Enzi za skuli unatoka katika chumba cha mtihani wa hesabu nje unakuta magwiji wa namba wanabishana...mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema jibu -3 wakati huo wewe umepata jibu 41987 hapo ndo...
Kuna jamaa wa Iringa kitambo hicho alitoa song moja kaliiii akapotea mazima,song lilikuwa linaitwa Jackiline
Wimbo ulikuwa na kiitikio hiki
"Mtoto ameumbika,Jackline
sura kama malaika, jackiline...
Huyu shost nilisoma nae form three na four yeye alikuwa kule ambako phyisics na chemistry ni msamiati. Shost wa ushuani lakini huko mkoani. Amekuja mjini kuchukua passport na visa anataka kupanda...
Naishi Tanga Jina kamili Abdulqadir Hassan nina miaka 21
nahitaji rafiki Jinsia zote.
Vigezo;-
1.awe mwenye akili ya kushauriana kwenye mazuri
2.asiwe mshari na awe mcheshi yan kutaniana wakati...
Kauli kama hizi 'wa kunikamata yupo wa kunipeleka mahakamani hayupo''
'watuhumiwa wa madawa wanaishi gerezani kama wako peponi'
je. malengo yatafika??????
Nilipokua nasoma darasa la tatu nilisoma hicho kitabu lkn sikukielewa vizuri
Kila nikitazama zile picha nilikua naona manahodha wanakula mua wa kawaida kweli.
Kwa ambaye anaweza kukipata please...
Kweli nyakati daima hazifanani, mpaka ninavyoandika hapa sijapokea mwaliko wowote wa Sikukuu toka kwa ndugu, jamaa na rafiki zangu! Je ni kweli vyuma vimekaza kiasi hiki? Come on!!
Unaweza usielewe kwanini nauliza hivi au ukaponda tu kama ilivyo kawaida ya wengi lakini jibu lako ni la muhimu sana.
Hivi kila mtu anahaki ya kupata anachokihitaji/kipenda??
Kama...
Habari wana JF
Mkuu Joseverest hivi unatumia mbinu gani mpaka unapata mpaka 89% za wewe kuwa ni member wa kwanza ku comment asilimia hizo ya threads?
Ni kweli kitanda, gari, nyumba na kazi yako...
Katika maisha yangu jambo ambalo sitalisahau milele ni siku nilipofanya mapenzi na binti wa ajabu kimaumbile!
Jirani na kijijini kwetu nilipata binti alikuwa anaitwa Kamunde! Kwa kweli ilinichikua...
Habari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi..
Jumatatu
apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.