JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa wale ambao tusoma Mtwara tech ambao tunazijua Loveline,dom Chee; Nyuji na Danida .tukutne hapa.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Aisee hili tumbo huwa ni shida na cjui kwanini huwa linahisiana na kijasho chembamba nakumbuka kuna siki nlikuwa kwenye mizunguko yangu likanishika nikiwa mijin alafu sehemu niliyokuepo hakukua na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Uchoyo ukifikia hapa bora kifo, mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi, akaficha chakula chini ya kochi, mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi. Mgeni: Moshi wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
*HAKUNA MESSAGE NGUMU KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU KUJIBU KAMA "BABY NIKWAMBIE KITU"[emoji23][emoji23][emoji23]*
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Stress ni pale ulipoamua kusubiri upangiwe ajira tangu 2015, halafu majina yanatoka sasa hivi kuwa umepangiwa kazi KIBITI. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Matumaini yangu mu wazima kabisa,kwa waliofunga hongera sana,mungu ni mwema karibu mtaanza kula lunch. Hoja niliyo weka ukumbini jana ilihusu kujisomea vitabu,asante kwa wote mlioshiriki...
0 Reactions
3 Replies
628 Views
Hadi muda huu suala la Iddi kuwa kesho,linaanza kufifia.Hakuna mwezi wala dalili zake kwa hapa bongo.Ingawa inasemekana Dubai umeonekana,huku kwetu umegoma
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtoto kampigia simu mama ofisini kwake kwenye simu ya ofisi, baada ya mama kusahau simu yake nyumbani. Mtoto: Mama uwahi kurudi nyumban leo mapema Mama: Siwezi kuwahi kurudi mwanangu nina...
1 Reactions
1 Replies
913 Views
Hellow Fellas . Nitumiie neno Wakuu kama Jina lenye heshima JamiiForums, mpo poa wote. Tunatambua wote wako Mafemous wa JamiiForum njooni hapa tusemazane na mafunns wote mnakaribishwa. Ni...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Zamani ukiingia Form One wanafunzi uliowakuta watakuita Mgogo. Hivi kwa sasa mbadala wa neno hili ni nini?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo yanabadilika sana kwanini zamani kabla ya kupika dagaa walikua wanakatwa vichwa ila siku hizi hawaondolewi vile vichwa na bado wanakua watamu tu Nini lengo la kuondoa vile vichwa?
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Leo nimepiga pafu zangu 5 za bangi lkn sijaona madhara yoyote:D wanaosema bangi inamadhara wapuuze tu Sahivi nimekaazangu juu ya TV naangalia makochi badae tena nataka nipige pafu tano nyengine!
2 Reactions
14 Replies
2K Views
MIZANI ; SEPT 23 OCT22 Wiki hii unatakiwa kuwa makini sana na vichochoro unavyopita Kwani kuna hatari ya kukutana na Mke wako ambaye mmeachana siku nyingi, upo uwezekano mkubwa wa kukumbusha...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
*Baada ya ofa ya Jaza ujazwe ya Tigo nimeona na Mimi nije na ya kwangu kwenye mlango wangu wa ghetto nimeandika Gonga ugongwe naona usumbufu wa mama mwenye NYUMBA umepungua*
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Uzi maalumu tu kwa members ambao hawajalala kama vipi post chochote kile.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Nawasalimu nyote, Naomba tu niulize hili swali chokonozi hapa. Hivi umesoma vitabu vingapi tangu January hii? Vinaitwaje?
1 Reactions
70 Replies
3K Views
Kuna tabia moja mbaya sana akina dada mnaifanya, huwa mnapenda sana kututoa kofia tunazovaa kichwani (hasa kapelo) alafu mnaanza kukimbia nayo ili uonekane upo romantic, just imagine mi nikakutoa...
4 Reactions
7 Replies
960 Views
Leo nilibahatika kutembelea moja ya mgahawa mjini kupata chochote kitu baada ya mihangaiko ya hapa na pale.kwenye mgahawa ule niliagiza chakula ambacho nilikuwa nakihitaji "menu ilikuwa ya...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom