Mi nlimwambia ipo siku utajua nilikupenda na kweli sahizi ananiomba msamaha ila ndo nishapata girl mwingine wewe ulimwambiaje mpenzi wako mlivyoachana?
Leo tuangalie aina tatu za pilau
1. pilau mjazo: hii ni pilau yenye wingi wa nyama haina haja ya kuvaa miwani kutafuta nyama pilau imejazwa nyama kuliko mchele, pilau ya hivi utaikuta ushuwani tu...
*MISSION IMPOSSIBLE NIN???*
*NI PALE UNAPOENDA DUKANI NA DEM WAKO WEWE UNANUNUA CONDOM ALAFU DEM ANAAGIZA PEDl*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh Mimi nimeona bora tuhame Tongwez....
Màaana Leo nimeota vibaya
Had sasa natafuta wanajimu wa kutafsili ndoto yangu......but hollaaaah
Nimeota '''nipo kwa exam room na swet vibaya sana tena...
Mara zote huwa najiita nna nyota mbaya ya mahaba ,mim ni form six ila nmeshanasa Mke ya wenyewe kama 4 naomba radhi sitowapenda nilinusurika, ukija hivi videmu fresh asee nimezoa ila napunguza...
Tweet ya Trump
The Democrats have become nothing but OBSTRUCTIONISTS, they have no policies or ideas. All they do is delay and complain.They own ObamaCare!
Majibu aliyopewa
Wow. What an...
Habari wadau!
Asubuhi nimepigiwa simu kwamba kuna mtu kazimia ghafla alikuwa anapata chai!; tukampeleka Hosp. Fasta katundikiwa drip.
Lakini cha ajabu nimekaa hospitali mpaka sahivi mchana huu...
Nimefanikiwa Kukutana Na Mwana Jf Mmoja Wa Kiume Tumeongea Mengi Sana Kuhusu Changamoto Za Jf Na Mambo Kadhaa Ya Nchi It Was A Wonderful Day Nikamchokoza Kuhusu Id Yake Akacheka Sana Mpaka...
Mkuu X-paster kama bado upo nakuomba ujitokeze hapa ile 'ishu'
tulijadili naona sasa ni muda muafaka wa kuifanyia kazi, ni muda
mrefu sasa sijakuona kabisa hapa JF mpaka ninapatwa na wasiwasi
kuwa...
Jana Mchepuko wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu...
Kuna wakati Mtu unaweza kuchapia mbele ya kadamnasi mpaka ukajishtukia hasa ukizingatia watu wametega masikio wote wanakusikiliza wewe kisha likakutoka neno hata usijue kama limetoka mdomoni...
Mwalimu wa shule yetu huwa anapenda kutumia kiswaEnglish kwenye somo lake la geohraph.....
Juzi kauliza swali????
Teacher: " nani anajua Dalili za kuanguka kwa CLOUDS "
Tukanyoosha mikono wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.