JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1 Reactions
5 Replies
600 Views
Wakati Wa mziki unatafuta Wa kucheza nae ukamatie kiuno.unampata Mara unaskia dj anasema "bado moja ya mwisho"apo ndo utatamani muda urudi nyuma au unatamani umrukie dj umchape vibao. Duh unakuta...
0 Reactions
11 Replies
717 Views
Nahisi tatizo langu la macho limeanza tena baada ya eid kuisha kila nikiangalia wallet yangu sioni kitu #WapostPumba
0 Reactions
4 Replies
3K Views
E WAJUA * *Kumdanganya demu kazi rahisi sana.?* *Dem: Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli.* *Jamaa: Ee sana tu naweza ndio..* *Dem: Eb ongea...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa. 2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama ufutio. 3. Kama ulikanyagia kisigino...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mungu ashukuriwe tumemaliza mfungo salama salimini.
3 Reactions
16 Replies
972 Views
[1] Regular naps prevent old age, especially if you take them while driving. [2] Having one child makes you a parent; having two you are a referee. [3] Marriage is a relationship in which one...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwalimu wa kawatoa nje wanafunzi wake. Mwal: jamani angalieni Juu Mnaona nini? Wanafnz: mawinguuuu.. Mwal: kingine..? Wanafnz: hakunaa Mwal: Mungu mnamuona? Wanfnz: hatumuoniiiii... Mwalm...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
*Nawakumbusha waislamu wote ambao hamjanialika kuwa bado miezi mi 5 christmass ifike,ni ilo tu kwa leo* Idd El Fitri
3 Reactions
11 Replies
1K Views
UTANI LAKINI 1. Kofii olomide muhaya 2. Rihanna msukuma 3. T.I Mzanaki 4. Chris brown Mchaga 5. Lil wyne...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kifupi unakuta mwanaume ana status nzuri tu lakini anakosa mwanamke anayejielewa.yaani wengine hadi wananiuliza sometimes mimi "hivi wewe unawapataje wanawake wazuri na wanaojimbua hivo". Sasa...
10 Reactions
83 Replies
10K Views
Naombeni msaada unisaidie Hindi gani ya kujiunga GB1 kwa 600 tigo?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu. Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
*kwa jinsi nlvofulia nna mpango wa kuongea na familia yangu wanipe hela watakayogharamia mazishi yangu niitumie tumie* nkifa ntajua cha kufanya
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Siku,mwezi,mwaka na hatimae miaka sasa tangu uone sayari hii ya dunia. Ni jambo la kumshukuru Mungu amekuvusha kwa mengi mpaka kufikia siku yaleo unapoadhimisha kuzaliwa kwako rafiki yetu...
12 Reactions
213 Replies
11K Views
sjh
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kesho niko njiani kwa njia ya Barabara, naombeni sala zenu. Nawapenda, naipenda Kagera yetu.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom