JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "MSAMAHA". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika -...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Naomba nijulishwe. Maana wapo wanaosema kuku, wengine bata, na wengine husema ngamia na kitimoto
4 Reactions
125 Replies
19K Views
Naomba mwenye kujua yale mafuta yanayotumika wakati wa tendo la ndoa Yanaitwaje na naweza kuyapata wapi?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Ukiacha parachichi ,tunda gani rengine renye faida tere mwirini.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale wanywaji siongelei walevi, Hivi unaweza kukaa siku ngapi hujatupia hata bia mbili? Maana mimi leo tokea naamka pale kitandani niliapa kuwa sinywi tena mpaka siku ya sabasaba, lakini...
0 Reactions
3 Replies
718 Views
i just missed you badly.........................
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Sili nikashiba, nikikukumbuka, Hula haba, na kushikashika, Ni chozi za huba, kweli nasumbuka. Meniondokeya, wangu mahabuba, Nilikuzoweya, kwa yako mahaba, Nnajikondeya, sili nikashiba.”
2 Reactions
64 Replies
3K Views
Ultimate clossed threand
1 Reactions
13 Replies
864 Views
wakuu nina wasiwasi hata swala hili nililo waletea halipiti bila kupingwa
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Uzi huu uachwe ujitegemee. Kama sio uonevu kwa mwanafuunzi wa kike ni nini? anatiwa mimba na mwanafunzi, baba au kaka wa kufikia au mtu mwingine halafu jamii linamhukumu peke yake,inakuwaje...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna aina tatu za watu: 1. Wasiochukua ushauri kwa mtu yoyote. 2. Wanao chukua ushauri kwa kila mtu 3. Wenye watu wao maalumu wanao waamini linapokuja swala la kutaka ushauri. Je wewe upo kundi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Kila nikiingia jamiforums nakutama na hili tangazo limaziba screen kwamba tigo wamefika singida......Silipemdi mpaka basi
1 Reactions
9 Replies
957 Views
Hiv ni nani ambaye amewahi kumuona Mzee majuto wakati akiwa kijana au ameanza kuigiza ameshakuwa mzee
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nampa big up aliefanya tukasherehekea idd jumatatu na jumanne,ameietendea haki miili yetu. Msihoji haki gani,ila na ahidi nasi wakristo tutalipa fadhila December 2017.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi wanajumuiya ni starehe gani ambayo ukiipata unajihisi kama uko ulimwengu mwingine?.Kwangu mimi naona kama starehe kuu kuliko zote ni kugegeda.Raha ya kugegeda naona kama haina mpinzania na...
7 Reactions
165 Replies
18K Views
Napenda sana JamiiForums lakini ndugu yangu Mshana , topic zake zinanifanya nitake kujua mengi kuhusu jamaa. Je, ndugu yangu mbona umebase kwenye mambo ya kuzimu , uchawi nk? Post zako binafsi...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Asalaam aleykum wana JF. Poleni na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta riziki. Lengo kubwa la kuleta huu Uzi mbele yenu ni kwamba nimetokea kumpenda sana huyu mdada SKY ECLAT. Umekuwa...
5 Reactions
161 Replies
8K Views
Weka jambo ambalo ukikumbuka tafakari yake inakurusisha nyuma sana Leo ukikumbuka unabaki na tabasamu /furaha /huzuni. Mimi nakumbuka wakati im Coming from the cold (sina kitu) ilikuwa inaweza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tigo live it love it.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom