JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Vipi Halima Mdee yupo uraiani au,.....kwani malaika yule hasemwi semwi. Kweli nimekosa usingizi Jana kuhofia
0 Reactions
1 Replies
401 Views
3 Reactions
2 Replies
828 Views
Siyo watu wote wanaokuuliza "watoto hawajambo", wanakuuliza kwa nia nzuri, wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo. Duh! Tutafika kweli...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Toka kaskazin mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi naomba niwasalimu wana MMU wote! Bila shaka kichwa cha habari kimesheheni maudhui ya matini hii.Nianze kwa kuorodhesha baadhi ya vitu hivyo ni...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
0 Reactions
5 Replies
533 Views
Hivi nyie mnao andaa sherehe za harusi hapa dar ,kwa nn mnapenda kutulisha kuku za siku 10 , ??? Unakula kuku laini kama samaki mchanga , Jifunzeni basi ,,,mbina nyie mkija huku mikoani tuna...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana Nadhani upo humu, hata kama haupo...
2 Reactions
68 Replies
13K Views
kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama. basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Hivi kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndio anaitwa Sister in Law, au?...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hey wanafamilly mko pouw naisi mko pouwa wazeee nilikuwa nasema Kama kunamtu anataka Groap la michezooo anitafute WhatsApp mamba 0767344840
0 Reactions
4 Replies
515 Views
Salaam kwenu Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka...
5 Reactions
225 Replies
18K Views
ni hivi wakati wife kasafiri kuna mtoto ni kawawa nampa lift for two weeks,sasa juzi wife amerud asubuhi tunaenda zetu job kufika ile mitaa ya yule mtoto ninaposimamaga kumpa lift kwa mbaali naona...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Members kumekuwa na maoni mbalimbali kutoka watu mbalimbali wakitaka wana j.f tukutane mahali tufahamiane,ili swala limekuwa gumu sana kwa baadhi yetu kama sisi hasa ukizingatia mazingira...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
  • Closed
Karibuni members wote wa Jf kwenye haya mahojiano ya moja kwa moja, Yaani ni Mubashara kabisaaaa ambayo yataendeshwa na kusimamiwa na mimi STUNTER ! - Na kwa siku ya leo tutakuwa na Mbobezi wa...
15 Reactions
437 Replies
61K Views
Habari wanabodi... Kwenye kumbukumbu mzee wa kaya alisema ikifika tarehe 1/07/2017 kama bado uko mjini wewe ni mwanaume... Hebu tag wanaume wote tulioko mjini mpka leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, wapenzi na wafurukutwa wa hili jukwaa la MMU, nawasalimu in the name of MMU. Bila kupoteza muda au kupepesa macho, naomba niende direct kwenye point. Kwa kweli kila ninapoingia humu JF...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Kweli Malinzi alikuwa kikwazo aisee yaani kawekwa "rumande" siku mbili tu, tumeshaaanza kuifunga South Africa Je angefungwa mwaka kabisa si tungeshachukua kombe la dunia kabisa.
0 Reactions
4 Replies
598 Views
Kwenye hospitali ya vichaa, mwandishi wa habari akamwuliza daktari: "Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "? Daktari akajibu: "Kuna njia nyingi ... kwa mfano...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
*Hapa ndo tujiongeze kama malinz kashikwa tu siku ya 3 yupo lock up tumefika nusu fainal je akifungwa miaka si ndo tutafiaka kombe la dunia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kufuatia serikali kufuta road license na kuihamishia kwenye mafuta,nilitaka kujua vile vikaratasi vya road license kilichoexpire utaendelea kukiacha kwenye kioo au unakibandua?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom