JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ZMilipokuwa mdogo kupanda maua ilikuwa hobby yangu. Wakati ule ni kuona maua hata yawe Chang'ombe au Keko nitafuatilia nipate mbegu. Nilikuwa na collection ya maua ridi Meupe, pink na mekundu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA. zifuatazo ni factors za kujijuaa kama wwe ni mhenga[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji223][emoji223][emoji87] 1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nyie mnaishije?huku temeke??mi bar michafuuu haina wanawake warembo "maua" MTU unakunywa bia umezungukwa Na mi bar meidi tu..ahh ngoja niende zangu tabata nigonge bia nikalale masaki home. Siji...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
Hvi bahari ingekuwa supu ungekunywa na chapati ngap mdau??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. KIBITI 2. TFF 3. SIMBA SPORTS CLUB [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji1] [emoji1]...
2 Reactions
4 Replies
988 Views
Eti wanasema ukitaka kukonda bila 'kufanya mazoezi' mpende asiyekupenda. Hili lina ukweli wowote?
0 Reactions
6 Replies
677 Views
Wakuu maombi yenu jamanii, nipositi moja na mama mkwe halafu mfukoni nina sh. 400/= tu! Na nimefanya uchunguzi wa kiintelijensia nimebaini kua hiyu mama mkwe hajabeba hela hata sh. 100, bila shaka...
0 Reactions
15 Replies
801 Views
Yaani nilikuwa sijawahi kukutana na kitu kama hiki katika maisha yangu.Nilikuwa nikisikia tu kwa watu nakuona kama wanazingua.Sasa baadaye yakaja kunikuta kwa dada mmoja wa Kihaya ambaye ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
2 Reactions
4 Replies
742 Views
Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera. Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone. Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Aliyo nao anitumie nimeusahau wanavyo uimba na hata jina la aliye uimba pia nimesahau ila nakumbuka beat yake inapiga hivi titiiii..taa..tatataah..tiktaaa..didididi.. Msaada jaman kwa anae ufahm...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
*Jamani mwenye gundi anisaidie, nataka nibandike mboga jikoni*
0 Reactions
7 Replies
799 Views
Waungwana Bibi yenu kuna muda ananitishia na sim zisizo na maana anadai bado analipa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
ewe mwanamke kokote ulipo chagua mwanaume mwenye hela, infact siku hizi hakuna mapenzi ya kweli ni kheri ukatoa machozi kwenye BMW kuliko baiskeli #WapostPumba
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hivi Bushman bado haijaifikisha ile chupa sehemu husika?? #WapostPumba
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani naombeni msaada wenu kwa niaba ya rafiki yangu. Kajiopolea mchumba au niseme boyfriend wa kutoka Congo ila tabia zao hazieleweki eleweki,wanagombana Kila kukicha. Yaani yuko mguu mmoja nje...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
samaki akioza mmoja wameoza wote kama ilivyo klabu ya Simba viongozi wao wote mafisadi hata mashabiki wote wezi tu....ukimind nifate kwetu KIBITI #WapostPumba
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kipi kinaongoza kukufanya kuwa na furaha kati ya pesa au mapenzi?
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Upuuzi mtupu, Jaza Ujazwe ujinga mtupu, niweke airtime ya Tzs. 50,000/= nikaambulia meseji hamsini eti ndio nimejazwa!!! Tigo mnitake radhi kwa ujinga huu
0 Reactions
11 Replies
894 Views
Back
Top Bottom