JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala
 Jamaa: Hellow... hellow... ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)
 Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilitokea pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyenifundisha MATHS enzi zileee halafu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda Makuburi. “Nenda mbele kama 1.2 KM hivi kisha kata kushoto, ila...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtoto mmoja leo asubuhi kaamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "Mamaa!" Mama yake akaamka na kumuuliza "nini mwnangu?" Mtoto akajibu "Mama nimeota ndoto mbaya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi...
3 Reactions
53 Replies
40K Views
Every day with you is special but today is extra special, your the only man whom I have truly loved,truly admired and respect. Sina mengi sana ya kuelezea unajua nnavyokupenda na nakutakia Heri...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeshindwa kupata usingizi mpaka muda huu kutokana na ndoto inayonijia kila wakati kuhusu uwepo wangu katika kina cha Mahaba na mtoto wa Kisukuma Valentine. Kinachonishangaza ndoto hii...
1 Reactions
64 Replies
4K Views
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Namshukuru Mungu kwa Kunifikisha Siku Ya leo. Siku ambayo ni maalum kwangu. Siku Ambayo kwa mapenzi Yake yeye Mwenyezi Mungu Ibra87 natimiza Miaka Kadhaa. Ninayofuraha kubwa kufika Siku Ya...
4 Reactions
80 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume...
4 Reactions
109 Replies
7K Views
KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO Kwamfano - Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijui na mimi nitakuwa ni muhenga maana hili karai niliogea sana pamoja na ndoo ya chuma sijui nyie je?
1 Reactions
18 Replies
4K Views
STRESS NI NINI? Stress ni pale unaposubiria ajira tangu 2014 hujapata halafu unakuja kupangiwa KIBITI hapo lazima uimbe ule wimbo wa darasa RUDI UTOTONI USIPOTEMBEA UTABEBWA MGONGONI[emoji3]...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
*bongo muvi bana,naangalia muvi ya yesu walioigiza wabongo* Maria: Yosefu nina mimba.. Yosefu: Yesu wangu mimba ya nan[emoji23][emoji23]? imebidi nizime Main switch kabisa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamaa yangu kanitumia meseji hii sasa hivi: Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali, sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna haka katabia Shuleni/vyuoni ka kuhisiana maspy/wapelelezi wa walimu Sijui wanafunzi wanatumiaga vigezo gani kuita wenzao Maspy wa walimu unaweza kuchukiwa na shule nzima au hata kutengwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu uzi huu ni maalum kwa mabingwa wa kuchepuka ambapo kikubwa tutajadili jinsi wanavohandle michepuko,faida na hasara za michepuko lakini pia tutaangalia swala zima la njia zinazotumika...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za mchana members.... Nilikuwa naomba Masaada wa maelezo kuhusiana na hili swala la ulipaji kodi ambalo TRA wameliongezea muda wa wiki mbili, hii kodi inayolipwa ni ya majengo au ardhi...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Many professionals need Dstv installer Jobs. Asides acquiring the raw knowledge and experience it's good to attend Dstv,Azam course, where you can get accredited installation training to become a...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
0 Reactions
17 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom