Habari yenu wana jf hope mko poa wote.
Niende kwenye mada husika je unasifika kwa tabia lipi mtaani kwako unapoishi? eg.upole,ukorofi,u-play boy or u-play girl,uongo,shilawadu(umbeya) n.k
weka...
salaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo...
Habari za jioni wana jamii Naju
a Wapo Wengi Wanao Pigana Vikumbo Huko Pm Kukuwania Wewe... Najua Umeshatamkiwa Sana neno nakupenda na Bado Unaendelea Kumtakiwa Kila Siku Iendayo Kwa Mungu...
Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena...
Ukiangalia social media nyingine kama twitter, facebook na linkedin unatumia jina halisi pengine umeweka picha kabisa. Huko taarifa zako nyingi ziko wazi. Kwa nini hapa JF isiwe hivyo. Hata wale...
Wale wote wanaopenda kujua ni chama gani kinafanya poa katika majimbo kinachoyashikilia tukutane hapa kuelekea 2020
Je ni jimbo gani lina wananchi wasiyo na matumaini maji shida,hospitali shida...
Huyu shost alipata mimba akiwa darasa la saba B, shost kaumbika mashallah. Wazazi walisononeka lakini walipiga moyo konde na kumsaidia binti kulea mimba. Binti alikwenda kufanya mtihani na mimba...
Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.