JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hili nimeliona sehemu nyingi sana unakuta mpo ' Wawili ' tu Wewe na Mwanamke fulani halafu inatokea unasikia kabisa ' harufu ' kali ya ' Mjambo ' na ukiangalia pembeni yenu hamna Mtu yoyote zaidi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bora ya MTU ni yule aliye Fanya kazi ya halali kwa mikono yake 2 kwa kutoka jasho na kuitimizia familia yake mahitaji ya msingi kupitia kipato hicho cha halali kama vile kukata/kukusanya kuni...
0 Reactions
4 Replies
896 Views
TUUMIZE VICHWA KIDOGO KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi; Mteja: Samahani, naomba kujua...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Hamna Kazi ngumu kama Kumtokea Demu Mpya ambaye hamjawahi kukutana duniani wala hamjuani...Lakini kuna Mbinu nimeigundua ambayo ukiitumia itakusaidia kupunguza RESISTANCE! Kama Demu ni MZURI na...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanza kama masihara hivi?:- 19+ 87 = 219 - 45 = 12 x 34 = 59/7= ........... Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, unajuutaa: Ndege...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*Nimelala nikawa naota BILL GATE ananiamsha.."boss,boss amka chakula tayari"* *...Eti jaman hii sio dalili ya malaria kweli...*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-J500H using...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu wa jf Eti mabraza ni Kabila gani ambalo ukitongoza Mademu hua hawakatai kabisa Na nyie masista ni Kabila gani ambalo wanaume wakiwatongoza hua hamuwakatalii?
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wana JF. Kulikuwa na mwaliko wa kushiriki nyamachoma kwa JF members siku ya sabasaba. Naomba tupate mrejesho wa kilichojiri siku hiyo (kama mada iliisha letwa basi mniwie radhi sikuiona)...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau, nimejaribu kufikiria na hili kuhusu avatar za member wengi wengi wa jf zinaendana na tabia zao.maana sometime nikiangalia avatar ya mtu na anachopost au comments nagundua wazi kabisa...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Watoto Wanacheza mchezo unahusisha kijiti wamekichimbia kwenye mchanga kimesimama wima!! Kila mshiriki anatakiwa kufukua mchanga kidogo kidogo kuelekea kilipo kijiti. Mwisho wa mchezo ni pale...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni muhimu binamu kujipenda, kuanzia usafi wa nywele, ngozi, kinywa, mavazi , malazi na chakula. Kwenye bible Adams alipewa nguvu na uwezo wa kutawala wanyama sasa tusipojipenda si tunajiweka sawa...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza, Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ...
2 Reactions
198 Replies
13K Views
....
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NAKUKUMBUSHA TU KUWA Mwaka na Umri havirudi nyuma 1975=42 1976=41 1977=40 1978=39 1979=38 1980=37 1981=36 1982=35 1983=34 1984=33 1985=32 1986=31 1987=30 1988=29 1989=28 1990=27 1991=26 1992=25...
9 Reactions
114 Replies
6K Views
Hii njia milifundishwa na bibi yangu na kwakweli ilifanikiwa kudhibiti harufu na tuliweza kuweka mkeka uani na kupiga story. Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu...
4 Reactions
24 Replies
10K Views
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Mchungaji ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi: Mchungaji: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
MREMBO: Baby naomba unisaidie pesa nikaseti nywele zangu, naona haziko sawa Nikazama mfukoni nikachomoa noti kadhaa za elfu tano tano na kumpatia mrembo. MIMI: Baby japo najua pesa hiyo ni...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom