Jinsi haujawai pitwa na wakati ,toka,
Ikiwa mpya ndo fasheni ,ikipauka ndo inazidi kuwa fasheni,Ikichanika ndo usiseme ,Yaan bonge ya katalogiii...
Hivyo hivyo kwa mtoto wa kiume ,Huwa kwanza...
Kama kukohoa tunakohoa,kama chafya tunapiga,kama makamasi tunapenga hadharani.sasa wanasayansi wamethibitisha kujamba kunapunguza saratani na shambulio la moyo.kwa hiyo JIJAMBIE KWA AFYA RAFIKI
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Katika raha kubwa ambazo shawahi kukutana nazo ni pamoja na hii ya kuoa mwana mke anayenizid miaka yaan ni raha sana...
Lile tangazo La SIZONJE naona kama limepuuzwa vilee.
C tuliambiwa mpaka kufika mwezi wa sabaa atakaebakia MUJINI[emoji538] [emoji545] [emoji537] [emoji536] ni kidume Sasa mwezi huooo unaelekea...
Pauka :....,.........
Pakawa:
Hapo zamani za kale palitokea bibi mmoja na mjukuu wake,mjukuu wake huyo alikuwa kipofu lakini alikuwa Mbishi kupita maelezo;
Neendelee !!!!nisiendelee!
Katika...
Siku ya kwanza wakati napelekwa secondari,nikiwa nipo kwenye korido huku nikisubiria utaratibu wa kuandikishwa,alitokea mwanafunz mmoja aliniambia nijaze shikamoo kwenye mfuko wake wa shati la...
*KISIRANI* is when you give a beautiful girl a lift
and she faints in your car. You take her to the
hospital and when you get there, the doctor says
she's pregnant and congratulates you that you...
Jioni hii nimecheka sana baada ya kukutana na mjasiriamali mmoja anayeuza vidubwasha flani vinavyotengenezwa kwa ngano ambavyo vinaumbo la duara, kilicho nichekesha zaidi ni jina alilovibatiza...
Wakuu habari za jioni..
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya telee, pia wale wote wanaougua kwa namna yoyote ile mwenyezi Mungu apate kuwaponya kwa mapenzi yake...
Karibuni wanajamvi!binafsi nikiwa bar....halafu bendi inapiga mubashara!nisipopigiwa nyimbo hizi 2.......hapatakalika!
1.Nawashukuru wazazi wangu.....wakati wowote
2.Tanzania yetu ni nchi ya...
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia...
Sasa wewe jifanye unampenda sana ukaanza kumsomesha,kabla hujachukua maamuzi tambua kwamba mwanamke hasomeshwi
Hawana wema hawa viumbe,unaweza kumsomesha mpaka masters halafu ukaambulia kupewa...
Habarini ndugu wana Jf nimatumaini yangu mko vizuri mnaendelea na majukumu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kushirikishana tabia zinazo kuudhi ambazo zimekuwa zikifanywa na baadhi ya watu...
*MWALIMU* angaiko mbona Leo unawaza sana darasani? [emoji18][emoji18]
*angaiko* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali
*MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani...
hii ni kwa wadada wote wa JF, kama boyfriend wako anakusaliti basi njoo PM tufanye mpango na sisi tumsaliti......na hiyo ndiyo maana halisi ya "malipo ni hapa hapa duniani"
#WapostPumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.