JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekaa nikawaza (nadhani unaniona kwenye avatar) kuwa kuna mambo kama matatu hivi ambayo Waafrika hatuyajui,
kama tungekuwa tunayajua hata hawa Wamarekani, Wachina na hata watu wa Ulaya...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kutokana na uhaba wa notifications tunaoupata baadhi ya member ambao sio maarufu kama kinaThe bold,mshana and the alike huu uzi ni kwaajili ya kuungishana mkono comment chochote utakotiwa tu hata...
6 Reactions
201 Replies
9K Views
Hakuna mtu mwenye mbio kama msichana aliyepaka make up halafu mvua inyeshe… :):D:D:)
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello! Is this Gordon's Pizza? No sir, it's Google's Pizza. Did I dial the wrong number? No sir, Google bought the pizza store. Oh, alright - then I’d like to place an order please. Okay...
0 Reactions
4 Replies
737 Views
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk. Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk. Sitaki kuhusu uzinzi.
2 Reactions
198 Replies
18K Views
Jaman. Hakuna Kinywaji Kitam Kama Konyagi Ukiimix Na Konyagi Na Bitter leomon Konyagi Na 7 Up Konyagi Na Dompo Konyagi Na Tonic Raha Sana Waiter Zungusha Tena [emoji482] [emoji482]...
5 Reactions
152 Replies
24K Views
Mimi siyo Nabii ila najua kuwa kuwa Baba yako ni MWANAUME kweli au si kweli? Niko hapa nimekaa njoo unipige
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao...
16 Reactions
123 Replies
7K Views
"Dating many girls is just a way of confusing your enemy from attacking your main girl. But ladies will not understand this strategy"
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mke wa jirani yangu alikuwa akikuta PESA wakati anafua nguo za mume wake alipiga kimya kimya, sasa ngoja akute kaacha CONDOM, mtaa mzima tulijua kama ameoa KIPAZA SAUTI. Siku hizi jamaa anafunga...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
*_My primary teacher Alizoea kunambia_* *_"...Lalisha matako apa, kumbuka si wewe nachapa, Bali ni ujinga natoa."_* *_Mpaka Leo mi huamini kuwa ujinga hukaa matakoni._* *_Sasa nkiona dem Ana...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Kusaidia Mtoto wa Nursery home work ni ngumu sana. Jana nimemuuliza swali la hesabu: "Nina pipi tano, nikiwagawia watoto watatu, kila mmoja pipi mojamoja nabakiwa na pipi ngapi? Akaniambia, “Toa...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Darasa lolote (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
 1. Mrembo wa darasa.
 2. Playboy/playgirl - Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
 3. Group ya marafiki watatu...
6 Reactions
15 Replies
37K Views
Unamtumia baba yako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" Anakuuliza "pckt mny ndio nini?” Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye anakutumia 10,000, unamuuliza hiyo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema: "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka
juu ya meza...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
*Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Demu: baby nitumie 100,000 kwenye Tps Boy: Tps ndio nini baby? Demu: Tps ni kifupi cha TigoPesa Boy: Ok, tayari nimekutumia Demu: Mbona umenitumia 10,000 Boy: Hicho ni kifupi cha 100,000 #WapostPumba
2 Reactions
7 Replies
1K Views
*URAFIKI ni kiwanda kidogo cha NGUO kilichopo MANZESE jijini DAR ES SALAAM* *kama unajua TAFSIRI nyengine pambana na hali yako* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimefika hapa Kituo cha Polisi na kujikuta nikifarijika sana na kushtuka baada ya kumkuta Afande Chacha hapa Kaunta akiwa anasoma Biblia, nikajisikia fahari sana kuona anasoma Neno katika kituo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom