JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mbona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia? Kulikoni?
14 Reactions
369 Replies
17K Views
Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa. Juzi...
27 Reactions
2K Replies
67K Views
imewekwa kwenye historia kua mnyakyusa wa kwanza kuongea na mchezaji huyo wa Everton kua Daktari Mwakyembe tarehe 12/07/2017 jijini Dar es salaam. aya wazazi ilo ni tilio jipya kwa maarifa ya...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA? 1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. Wewe ni muhenga. 2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
4 Reactions
109 Replies
14K Views
Habar za jion ndugu zangu.poleni na mihangaiko ya kila siku.na mimi najipa pole leo kwa kukesha Jf. Moja kwa moja kwenye lengo Wapendwa Jf ni kubwa na ina watu waliotoka sehemu mbalimbali kwa...
1 Reactions
2 Replies
624 Views
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto. Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
7 Reactions
131 Replies
8K Views
Basi bhana baada ya kuachana na mama na maneno yake ya kila siku kuhusu kutafuta kazi kuliko kushinda kwenye vilinge na masela na wana,Nikazama gheto kwangu huku nimechoka na kinjaa uzembe...
0 Reactions
6 Replies
737 Views
Kama wewe ni Mtanzania au Mwana Afrika Mashariki comment chochote kuhusu Sifa za Tanzania na Watanzania (a.k.a Wabongo na Bongoland). Karibuni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine .. Nianze na mimi mwenyewe... Jina...
19 Reactions
175 Replies
11K Views
Kila mtu akifumaniwa awe mwanamke au au mwanaume utetezi wa kwanza ni "Nisamehe shetani alinipitia". Mbona wezi huwa hawatoi sababu hii? Shetani ana nini na wachepukaji?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mm ni miongon mwa watu wanaomini kamali Ina shetani mbaya Sana ambaye huyakontrol maisha ya wachezaji kamali. Siku moja mcheza kamali mmoja alicheza kamali akaliwa hela .mpaka ya kula akalala na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Naitwa A am 21, Kwa Miaka Mingi sana marafiki zangu Ndugu Zangu na watu wengine wengi wamewahi kuniambia kwa Nyakati Tofauti Kwamba Mimi Ni Mtu Mwenye uwezo Mkubwa wa Ushawishi (HIGH CONVICING...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
A woman in a hot air balloon realized she was lost. She reduced altitude and spotted a man below. She descended a bit more and shouted, "Excuse me, can you help me? I promised a friend I would...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Leo sijisikii kuwasalimia, ngoja niende kwenye hicho nilidhamiria kuwashirikisha. Leo asubuhi muda wa saa 2.28 nilifika eneo la benki ya CRDB Tawi la Nyerere hapa Mwanza. Ilikuwa imebaki kama...
9 Reactions
151 Replies
8K Views
Kama kichwa kilivyojionyesha hapo juu, Kuna watu unahisi hawana mvuto kwako, pengine ni tabia zao, au staili zao, zinazokupelekea kuwaona kuwa hawafai na hawana mvuto kwako. Mfano; 1. Malaya...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Kama wewe ni mhenga basi andika chochote hapa ili tukumbushane mambo ya enzi hizo
0 Reactions
29 Replies
2K Views
mtu mwenye uthubutu ni yule mwanaume anaetuma nauli kwa mwanamke ambaye hawajahi kuonana hata siku moja. tiririka
1 Reactions
6 Replies
946 Views
Mi mpaka sahivi siamini kama nmelala nchi moja na ROONEY[emoji23][emoji23][emoji23] za asubuhi jamani? sent from posta
3 Reactions
3 Replies
869 Views
Back
Top Bottom