JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kutokana na Wema Sepetu kubreak internet kwa vazi lake liloonyesha umbo lake umbo/shape matata. Wadau wanauliza hiyo shape imetoka wapi kwasababu mwaka jana alikuwa wakawaida. Camera za shilawadu...
0 Reactions
37 Replies
17K Views
Wa salaam, naomben mnisaidie jinsi ya kuweka verication wakati una log in jf katika opera min browser. Post sent using JamiiForums mobile app
1 Reactions
11 Replies
986 Views
Nachukua nafasi hii kuzipongeza shule za Chato na Magufuli kwa kupata matokeo mazuri kidato cha sita 2017, hii ni moja ya njia ya kutokumuangusha rais wetu, mmefanya vizuri kwa kutokutoa div 4 na...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
"Atakayebaki mjini hadi Mwezi Wa saba kidume" aliyesema kauli Hii Mwezi huu yupo kijijini chatle kweli Mungu ndiye mpangaji Wa kila kitu.... Kumbe nae maisha magumu
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Innovator Content Manager MMhariri Content Quality Controller JamiiForums Official Robot Paw Content Manager Maxence Melo JF Founder
1 Reactions
11 Replies
944 Views
Most Amazing Animal Attack Compilation in HD:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello guyz Mamboooz.... Nakuja na stori mpya kabisa ya kusimumua na kufundisha iliyojaa visa vya kifamilia pamoja na kimtaa mtaa... Imeandikwa kwa mpangilio mzuri lugha nzuri itakayokufanya...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
"Mtoto idi kazua balaa mtoto idi kazua mikosi kisa pamba kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwa" mb dog akikwambia latifa,"penzi la dhati lati mi ntaona aaaa penzi la uzushi lati mi ntajua...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes 1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like 2: mshana jr 3:daudi mchambuzi 4: mc 7 5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia...
19 Reactions
140 Replies
7K Views
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hii Shule ya ( Kisimi-ri ) labda huwa inafanya vizuri kwakuwa Wasahihishaji wake wengi huwa ni Wanaume ambao pengine wakiwa wanaanza kusahihisha Mitihani yao huwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jino langu linauma sana usiku Hili ni jino langu la kwanza kung'oa. Wakuu nimevumilia maumivu ya hili jino kwa miaka 10 sasa. Jana na lenyewe likazidisha maumivu makali mno, nilibaatika...
3 Reactions
57 Replies
12K Views
Nilizaliwa Jumamosi July 15 na Leo Ni Jumamosi July 15, Ahsante Mungu Baba Kwa Kunipa Pumzi na uhai wa kuuona Huu mwaka Mwingine wa Baraka Kwangu! Uhimidiwe ee Mungu Baba Mwenyezi!
2 Reactions
11 Replies
787 Views
*Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela...
0 Reactions
6 Replies
968 Views
Chako ni lazima ukisifie.. kwa kweli jamii forums inastahili kuitwa JUKWA A BORA KABISA LA KIJAMII.. Kila kitu unakipata hapa. 1. Taarifa yoyote unapoitaka kuhusu mtu au kitu chochote ikigoogle...
0 Reactions
11 Replies
864 Views
Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali! Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Jf ni burudani yaani kila misemo ipo humu ilianza na mwendo kasi wahenga maknikia kuliamsha dude n.k sasa ipo hii mpya na iliyonifanya nicheke hadi nipost humu mtu anareply uzi mwishoni...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanasema ati ukila nyama ya punda ati unakuwa na nyota ya punda ya kubeba mizigo Basi mwenzenu nimekula mafuta ya kwenye ile kondom ati cjui nitakuwa na nyota ya kwa jinc gan mnisaidie mapeople...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom