Kuna vitu vinachekesha sana unaangalia muvie ya Kiafrica either Nigeria ama Ghana au Tz kuna kisehemu wanaandika 35 years later afu unashangaa mbwa aliye kwenye geti la nyumba inayoonekana kwenye...
Wakati wa utawala wa Jk wanaume hata mababu walikuwa wanaitwa Beibiii, kwa mahaba, kaja ngosha kaondoa hela mjini eti wanaitwa wahenga.
Wadada, Mungu anawaona jamani.
hamjambo wakubwa ..
Poleni kwa kazi ya kujenga maisha yako.
Rasmi katika mada,hivi humu ni haramu kuweka picha yako halisi ?
mim binafsi nimeweka picha yangu halisi ila asilimia kubwa hawajaweka...
1. Waseme vibaya single mothers:: hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na la...
Hawa ni wapendanao watatu ambao ni mzee mwenyewe Saint Ivuga na warembo wake wawili, wasichana wazuri kuliko wote hapa JF relato na Inna.
mwana Jf yoyote mwenye macho juu juu anapewa warning kuwa...
JF Kwenu,
"Generally speaking, the best people nowadays go onto journalism, the second best into business, the rubbish into politics and the shits into law"
Auberon Waugh.
Haya ni maneno ya...
Wakati wa utawala wa Jk wanaume hata mababu walikuwa wanaitwa Beibiii, kwa mahaba. kaja ngosha kaondoa hela mjini eti wanaitwa wahenga.
Wadada, Mungu anawaona jamani.
Imekaaje hii?
Itifaki izingatiwe,,mabibi na mabwana nawasalimu.
Nimekaa hapa nawaza,hivi kwa nini tunaishi?ni kwa faida ya nani?Tunafanya kazi ili tule,tuvae,tujenge,nk ndiyo kuishi...
Ukiwa form five shule ya serikali halafu uache shule mwaka mzima. Ukirudi shule utaendelea na form six, utarudia form five au utakuta wameshakufukuza shule? Na ukiacha shule halafu baadae ukiwa na...
Watanzania tubadilike, Jana ktk pitapita zangu kitaa nikakutana na wana (washkaji) na kuanza piga stori za hapa na pale kumalizia weekend.Katikati ya maongezi mara gafla ikapita gari moja ndogo...
habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf?
1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf
2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya...
Nawasalim,
Kuna imani mejengeka katika jamii hasa ya kitanzania pengine na nje ya Tanzania kuwa vitu vya zamani ni bora kuliko vya kisasa!
Mara nyingi tunasikia 'mziki ulikuwa zamani' au Dar es...
Ili kutunza kumbukumbu zetu vizuri kwa manufaa ya vizazi vijavyo nashauri tuwakusanye wahenga wetu wote hapa. mimi leo nimekutana na mhenga huyu maeneo ya kimboka buguruni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.