JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha) Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume: ****Wafupi ****Wenye...
7 Reactions
83 Replies
8K Views
Kwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri...
7 Reactions
57 Replies
6K Views
habar za siku ninadecoder ya azam niiwasha inaandika i smart card inserted incorrectly sasa nimejaribu kuchomoa na kuweka vizur inakuja meseji ileile naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Habari wanajukwaa Siku kama ya leo miaka kadhaa nyuma mwanaume nilizaliwa i cant think ni furaha kiasi gani walikuwa nayo wazazi wangu hii siku baada ya kumpokea kijana wa kiume kwa mwaka...
1 Reactions
9 Replies
894 Views
Wakuu Msalimie mdau wa hapa jf kwa kuanza na hayo maneno ili kuienzi heshima ya Le Mutuz kwa viongozi. Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
952 Views
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama...
11 Reactions
464 Replies
15K Views
Tumezoea kuku kama kitoweo au chanzo cha mayai, na ni nadra kumkuta kuku mwenye kipaji labda mbwa au paka. Cha kushangaza kwenye mashindano ya got talent kuku mmoja ameletwa anapiga kinanda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii kwa kweli nimeona niiweke humu. Naona Rooney kaleta heka heka mitaani Nilikuwa naangalia TV nikaambiwa hiyo ni Rooney Nga Nikaenda kunyoa nikakuta wao wanasema Sir Rooney Kuna mtaa mmoja Dar...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jioni ya leo ningependa tukumbushane mambo mawili. Tujitahidi sana:- 1.Kula-chakula cha halali. 2.Kuvaa-mavazi ya halali. Ahsanteni.Jioni/Usiku mwema! Sent from my HUAWEI Y360-U82 using...
0 Reactions
7 Replies
875 Views
Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wengi huwa tunajua jinsi weekend inavokuaga na amsha amsha vijana wa mjini watanielewa zaidi ila hakuna kitu kinachotia stress kama ni weekend alafu huna hela, home kifurushi cha king'amuzi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?
1 Reactions
66 Replies
4K Views
wadau vp mpoo kutokana na raisi wa zimbabwe Mr. robert mugabe kutoa misemo mingi yenye mantiki mnaonaje tukimfanya kuwa mmojawapo wa wahenga tupia comment yako.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kuna watu humu jf wamepanda vyeo ama daraja kuanzia Leo Na kiukweli tumekuwa hatuwatendei haki hata kidogo kwa kuwaita wakuu! Hawa watu wamekula chumvi nyingi tu Uthibitisho ni kuwa kuna...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Aliyemkumbatia Rooney agoma kuoga na sasa watu wanamkumbatia yeye kwa buku jero!!!
3 Reactions
18 Replies
3K Views
yule mhenga aliyesema "mpaka kufikia mwezi wa saba kama hujarudi kijijini wewe ni kidume" hatimae amerudi yeye asante kwa kuja #WapostPumba
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa nini wanandoa wakiishi pamoja hatimae ufanana sura mpk tabia? Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MWANAFUNZI HUYU ALIPATA SIFURI LICHA YA KWAMBA MAJIBU YAKE YOTE YALIKUWA SAHIHI SWALI: Mkwawa alikufa katika vita gani? JIBU: Katika vita yake ya mwisho SWALI: Mkataba wa Geneva ulisainiwa wapi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Kuanzia miaka ya 1980 hadi 2010 dunian kulikuwa ni ehemu nzur sana ya muzik mzuri na wa faraja ambao ulikuwa ni kila...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom