JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo tarehe 28 Julai 2015 Bwana na Bibi Richard Mugizi wanapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wana MMU wote kujumuika nao kusherehekea mwaka mmoja wa ndoa yao iliyojaa mapenzi na mahaba niue...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Karibuni jamani Eid ila nimejaribu kupita pita madukani nimegundua mchele ni ule ule wa Plastiki.Ila Kama upo tayari kutengeneza mabeseni chooni natoa mualiko kwa Kila mtu Wasalaam Eid...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Kabla ya yote aman iwe nanyi balikiwen sana katika bwana Andika neno litakalopunguza stres zako hapa alafu usiwe mchoyo wa like kwa mwenzio
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA* *MzeeKasema*
0 Reactions
6 Replies
943 Views
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya kumtandika fimbo chumbani akakimbia nje huku akichechemea Mara nikasikia mtu anabisha hodi nilipokwenda msikiliza namkuta mtu flani anachechemea huku akiniambia " uumeona ulivyoniumiza?"...
6 Reactions
76 Replies
8K Views
kama unapata nafasi ya kuanza au kurudia upya maisha yako. ni kitu gani utakifanya tofauti na ulivyofanya sasa
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Huu uzi maalum kwa kupigana matani ..wanawake kwenda kwa wanaume na wanaume kwenda kwa wanawake 1.WANAWAKE NI WATU PEKEE WANAOVUA HADI NYWELE WAKIENDA KUOGA[emoji2] [emoji2] [emoji2] 2.WANAWAKE...
10 Reactions
65 Replies
7K Views
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO. 1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi. 2. Tembo ana uzito wa tani 7 3. Tembo jike hubeba mimba...
2 Reactions
6 Replies
911 Views
LEO SIKU YA AJABU SANAAAA. MPAKA WANAUME WANATAMANI KUUONA MWEZI[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Instagram, sio Facebook au JamiiForums, ni Instagram. Hapa ndipo ambapo kila umuonae yuko very smart kimavazi, pamba kali kali na simu za gharama zipo humo katika maisha ya Instagram. Ni humo...
13 Reactions
74 Replies
6K Views
*Leo nmemkera kipofu akanambia ctak kukuona tena* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *sijui kamaanisha nin* ...
2 Reactions
4 Replies
766 Views
huwa najiuliza kwa sauti kubwa! ikitokea magu akasema kila mtanzania achukue kitu anachotaka hapa tanzania we utawahi kuchukua nini kiwe chako na vizazi vyako vijavyo??? mi kiukweli nachukua mlima...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ehee ebu tuambieni mpo sekta gani sasa hivi?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Asubuhi Alivyojikokota Akajificha Kwenye Dustbin Nimemkuta Nikamaliza Kabisa.Kwa Jirani Aliyesema Nimemuumiza Naona Watu Wanaingia Na Kutoka Kazidiwa Ghafla.Panya Nimemmwagia Mafuta Ya Taa Nataka...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi nyoote..karibuni tupeane kheir na baraq za Eidd Elhaj na vilevile ni vema pia tushukuru tumehitisha mfungo/Ibada hii ya Mwezi mtukufu waRamadhan,na hapa ni itakua vema ikiwa...
0 Reactions
3 Replies
672 Views
Unamchapa mtoto wako alafu una mbembeleza kwa biskuti unamuuliza nani amekuchapa..? Mtoto ana mpoint mtu mwingne hivo ndivo rushwa inaanza...tz
2 Reactions
9 Replies
741 Views
*HAKUNA MESSAGE NGUMU KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU KUJIBU KAMA "BABY NIKWAMBIE KITU"[emoji23][emoji23][emoji23]*
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukiwa unachat na mwanamke wako. Katikati ya conversation akaku SMS"baby nikwambie kitu"..ukijibu niambie..itafuata mlolongo wa matatizoo..na atakuomba hela au aka mzinga. Wanawake wasio kuwa na...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom