Wakuu habarini tena,
Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa...
Nasema angalia ya kwako tu ...Hawa ndiyo watanzania bhana
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
UKIWA...
Nadhani wote ni wazima wa afya, napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kwamba leo ni kumbukumbu ya siku yetu ya kuzaliwa mimi pamoja na twin wangu charminglady .
Kwa pamoja tuna mshukuru Mungu...
Kuna dem nimemtongoza miaka miwil na miez miwl sasa nilikutana nae mbeya, aliniambia akimaliza shule atanijibu haswa akiwauliza wazazi wake walioko pwani,...
Juzi kanitext "mpenzi uwezi amin mama...
You CANNOT give a woman everything she needs. If God Himself gave them eyebrows, they shave and draw their own. God gave them nails, they cut it off and fixed their own, God gave them hair, they...
Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoa wa Pwani na muda mfupi baadaye, atazindua kiwanda cha matunda kwenye Kijiji cha Msoga, alikozaliwa rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete. Mkewe, Mama...
*Hata uwe na bahati vipi huwezi okota nyumba*
*Ni vile tu sipendagi kuulizwa na babamkwe/mamamkwe nafanya kazi gani wakati jobless so huwanga nawajibu "mjasiriamali"*
Naomba kuhoji, ni kwa nini hii mitandao ya simu wanatuwekea call back ringtone ambazo mwenye simu hata hana habari. Nyimbo zingine zinakera kweli unapompigia mtu harafu inaanza kuimba. Haki za...
Wanaitwa Ayara na Jayara Ratun wana umri wa miaka 41 wamezaliwa Barsirat,Bengala nchini India wana mume mmoja kwa muda wa miaka 22 sasa kwa kuwa wana UKE mmoja tu,miguu mitatu,mikono ndio...
: Kama ukiwa mwanamke wangu, me ni aina ya mwanaume ambae siogopi kufanya lolote kwa ajili yako. Unahitaji nikakununulie ped? Nitakununulia. Unataka nibebe pochi yako? Bila shaka nitaibeba...
Nchini Uingereza mwanaume mmoja aliyegundua ticket yake ya lottery imeshinda aliwapigia simu Camelot na kuambiwa apeleke vitambulisho vyake wahakikishe kuwa ni yeye.
Aliwajibu mbona mnazengua...
Jazwa ujazwe na Tigo shimeee tuitumieeeee
Hivi Marketing and Promotion team ya Tigo mmekosa maneno mpka muanzishe hyo kauli mbiu?
Ki ukwel mmetupa sana ukakasi wateja wenu maana hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.