JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuza [emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
4 Replies
811 Views
Habari zenu, Kama kuna mtu anakifahamu chuo cha maktaba bagamoyo na anamawasialiano ya hiki chuo naomba anisaidie. Au kama applications zishaanza anijuze . Almaarufu ( slads).
0 Reactions
5 Replies
762 Views
*TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!* ```Kama unaye ndugu yako amehitimu chuo, na kwamba yuko tayari kufanya kazi eneo lolote nchini kulingana na taaluma yake kwa mshara zaidi ya 2m/=, msalimie sana.```...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
7 Replies
861 Views
.., nyumbani kwako unatumia kibatari, unatumia taa ya kandili (chemli), hauna gari na hata pikipiki..., bado unasherekea 'annual Motor vehicle Licence fee' kuhamishwa kama tozo kwenye bidhaa za...
4 Reactions
6 Replies
865 Views
No1: A man was so jealous of his newly born baby that he put poison on the wife's nipples while she was asleep. The next day their driver died of poisoning. No 2: A man is dying of cancer, but...
0 Reactions
4 Replies
624 Views
Kila nikijaribu kuingia kwenye JF Live chart napata black screen na siwezi ku access chart. Naombeni msaada wenu jamani Wabeja sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Awe mbinafsi kufuru,si lazima awe mzuri,awe mdokozi pia muhimu zaidi awe ameshawahi kusutwa mara kadhaa.
0 Reactions
9 Replies
887 Views
Listening is the best part about teaching. When you listen and let someone express what they feel, you are a million steps better than someone who shouts things in to another's brain hoping they...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho: Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao: hahahaahahah Mohamed Dewji tehe tehe tehe Trump hahahahahahahaha...
11 Reactions
102 Replies
5K Views
Polisi nchini Musumbiji wameonya kuwa wamaume wenye vipara huenda wakalengwa kwenye mashambulizi yanayohusiana na uchawi, pamoja na matambiko fulani, baada ya kuuliwa kwa wanaume wawili kama hao...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Utakubaliana na mimi kuwa wadada wengi sikuhizi wamekimbilia mapenzi ya Jinsia moja ..tunawaona huko makazini na pia mashuleni...nini Wamekosa ??????
1 Reactions
24 Replies
17K Views
JF Oyeeeeeeeeee Wana jf habarini baada ya kuludi home toka xkuli kuna mama mmoja ana rudia paper (risit) kama PC kaniomba nimpige msasa yaani nimfundishe kidogo sasa ana kitot cha kike...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hapo zamani pichu za mademu...ulikua una funua pichu zao ndo uone tako...lakini siku hizi lazima upanue tako ndo uone pichu na usije kushangaa unapanua tako ukakuta hakuna kitu Nb; siyo kwa wote...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodi hodi naomba kukaribishwa.
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Habari waungwana Ni tukio la ajabu sana kukutana na hii kauli ya mwanamke hasa mkewe kukwambia hahisi hisia kabisa kwako. Labda waungwana tafsiri yake ninini kama umewahi kutana na hii kadhia?
1 Reactions
28 Replies
4K Views
nisaidie kunitafutia hao watu niwaone humu popote mlipo embu onyesheni uwepo wenu Joseverest umekua adimu na Cocochanel ndio kabisaaaa
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za mwisho wa wiki wandugu. Ashukuliwe Mungu kutupa tena pumzi ya uzima hadi tunakutana tena hapa jukwaani. Kuna hili swali naomba nilielekeze kwenu. Hivi ni kwanini baadhi...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom