Wakuu habari..!!!ivi ile saund track kile kimlio kwnye kipindi cha njiapanda cha Isack Maro wa Clauds Fm ile nyimbo inaitwaje na kaimba nani..?? msaada tafadhari......
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela
Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho
Nakinacho stahili .
Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni...
Tangu Nimejiunga Na JF miaka 2.30 iliyopita Nimejifunza Mengi Ila Hili Lina Nishangaza Asilimia 95% threads Zina 5[emoji106] Like Tu? Au comment Zina 5[emoji106] Like Tu? ...je huo ni Utaratibu...
MUME: Bibie nifanyie chai.
MKE: We hauna mkono
MUME: Nina mikono Na Nina nafasi #tatu bado za kuongeza wake
MKE: Nikufanyie ya #maziwa au ya #tangawizi
**WANAUME HATUPIMWII**
Unaenda kwa jirani yako unakuta tv anayo ona ni yako ukitaka kutoa simu upige polisi unakumbuka hiyo simu ni ya huyo jirani inabidi utulie tu.
;>;> :D:D:D
TANGAZO
Nasikitika sana kuwaharifu ndugu zangu jamaa na marafiki wote kuwa sintaweza kuendelea kutumia mtandao wa TIGO hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimevumilia sana ila...
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira...
Matatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala
Gafla mtoto kaamka
Mtoto:mama nataka nikakojoe
Mama:chukua tochi hapo uende
Mtoto:akanyoosha mkono anaazakupapasa kumbe baba...
Kuna mashindano ya kula Ugali yalitokea na kuhusisha washindani watatu.
1.huyu mshiriki kwa mbwembwe zote alikula ugali na chumvi pakti ya kilo moja
2.huyu yeye alikula ugali na maji ya kunawa...
Hivi ukitaka ban unatakiwa ufanye makosa gani mimi naitaka iyo ban ili nipumzike ila nataka ban ya mwezi mmoja mpaka mwezi wa ramadhani uishe ndio nirudi nipeni ushauri basi nahitaji Ban.
Mf Nenda kalale,kanyonye mara anaulizwa"shule inafunguliwa lini?Mara likizo inatujazia seva,Kalale ukue.Balehe inakusumbua,Mwingine akichangia utasikia"Bado tu upo kwa shemeji?Yaani hawa watu...
Asalam Waleykum ndugu zangu,Mimi na familia yangu tunawatakia kheri katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani nawakumbusha Waislamu wenzangu kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusoma...
.." Jamani taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa nimeteuliwa kuwa waziri wa Nishati na Madini mzipuuze siyo za kweli.!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.