Nataka nioganaizi JF get together party, tuonane pale wote live, tufahamiane, tupiane michongo, deal, tufurahi, tunywe, wakubambiana na kupata wachumba hapo kazi kwao, Nina watu tayari washasapoti...
*Kuna dem Kaweka status kua "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa" Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??*
*Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua*...
When a lady is pregnant, all her friends touch her stomach and say "Congrats!". But none of them come and touch the man's Penis and say "Well done!". Kwanini jamani kina dada?
Funzo: Hard work is...
*Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai*
*Huyu mwalimu ana roho...
Nilimsikia mshikaji mmoja akisema "Uzuri wa mwanamke sura....tabia nitamnyoosha"
wakuu naombeni na nyie mtupie kauli ambazo ziliwaacha hoi mlipozisikia kwa mara ya kwanza.....!
kuna katabia kamezuka, vijana unawaona wamebeba mibegi, TV, stuli wanaelekea sehem tofaut tofaut kama katikati ya barabara, aidha msituni wao wanaita Location kupiga picha, Je nako nikukosa kazi...
Tukumbushane Maelekezo mbalimbali kutoka juu
Usiiibe
Usizini
Usishuudie uwongo wee Weka tu
Maelekezo yoyote yale kutoka juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna rafiki wangu wa kike, Mara nying huwa anapenda kuwa karibu na mie, kunipigia simu na text za mara kwa Mara..
Bt nmegundua mara nyingi nkiwa nae huwa nakuwa kama sina "swaggz" na naishiwa...
1. Baada ya kufanya kazi siku 30, unafukuzwa kazi bila mshahara
2. Ukiwa una download kitu kwenye net, inafika 99% alafu inagoma
3. Unaingia na kibomu kwenye pepa halafu unashindwa kuelewa...