1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka...
Wandugu,
Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi.
Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught...
Kila jukwaa lina watu ambao wanakuwa ni members ‘zaidi ya wengine' tokana na mapenzi ya kila member. Katika majukwaa yote hili la CC limekithiri tabia za uchochezi na undumilakuwili kwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Usikae kinyonge
Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto...
Kuna matukio ambayo yakikutokea unasahau kabisa stress za dunia na kujiona kama maisha ni matamu kuliko unavyofikiria.
Mimi binafsi:
*Nikipokea SMS ya muamala wa pesa kuingia.
*Mwanamke akifika...
4 June 2026 at 10:05 p.m.
And when you pray tonight, pray for forgiveness.
Release the weight of old wounds and choose peace over pride.
Ask God to soften your heart and remind you that healing...
Shoka lilipoenda msituni kukata kuni, miti ilisema kwa huzuni "mpini ni mwenzetu."
Samaki aligundua hana urafiki na maji, pale yalipotumika kumpikia.
Jogoo aliyewaamsha wenyeji, alichinjwa...
Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.
Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.
Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo...
Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.