Good question.
Nawaonea wivu kutokua kwao na biological clock.
Ningekua mwanaume ningetafuta kwanza pesa niwe tajiri,kula bata,onja pisi za aina zote then at 45 natafuta mwali mwenye bikira yake wa early 20s naweka ndani.
Anywayz mama wawili ,acha ninyonyeshe wanangu nizidi kujizeekea.