wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae unaona yupo na wewe kimwili, ila kimoyo hayupo na wewe?

    Habarini, Unakuwa kwenye relationship na mdada, ila unahisi uko lonely kwenye hio relationship, papuchi unapewa, ila ukiongea na huyo mdada unaona kabisa kwenye maono ya kimaisha ya huyo mdada, wewe mwanaume haupo. Unaona kabisa hapa unapewa papuchi kwasababu yupo desperate kipesa, ila angekua...
  2. Kasomeko

    JamiiForums Tanzania Styles za chumbani sio uonezi kwa wanawake, sisi wanaume hua tunazitumia tuwapo kazini

    Wakuu habarii, Moja kwa moja kwenye maada! Kuna hii ishu ya baadhi ya mikao ya kula tunda kuonekana kama vile ni unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake. Leo naomba niwasanue wanawake kua mikao karibia yote unayopangwa na mtu wako hua wanaume wanaikaa na wao wawapo job. So unavyo geuzwa geuzwa...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Girls be honest, ni kitu gani kimoja ambacho wanaume wanacho mnaokionea wivu?

  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanaume msiotaka kuoa na wanawake msiotaka kuolewa mkizeeka mtalelewa na nani?

    Wadau wa JamiiForums, Naomba tujadili swali hili kwa uwazi na hoja za msingi. Katika jamii yetu ya sasa, kumekuwa na ongezeko la wanaume wanaosema hawana mpango wa kuoa na wanawake wanaosema hawana mpango wa kuolewa. Kila mmoja ana sababu zake, na bila shaka kila mtu ana haki ya kuamua namna...
  5. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wenye ngosi nyeusi wapo obsessed na wanawake wanene. Ni fetish ambayo imerithishwa na kupokelewa vizazi na vizazi

    Yaani ni makebo makubwa juu ya makebo makubwa haijalishi mtu mweusi anaishi wapi
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnawakataa wanaume wenye upwiru,,,?

    Eeeeh aisee nimekumbuka kuna demu kipindi fulani nilimchombeza kuwa namtaka akapiga chenga alafu anauza glocery kwahiyo hiyo siku nilikiwa mimi na washkaji zangu kama wawili hivi. Na hiyo sehemu tulioenda na hao jamaa zangu kama mara nne hivi ila katika hizo mara nne siku moja ndiyo nikapata...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua kuna wanaume wa 30+ na hawana experience ya mahusiano? (Hata kuhandle familia hawawezi)

    Hii inaletlelezwa na kukosa confidence na effect ya social anxiety. Kuna jamaa mpaka wa leo nadhani haja wahi kufanya mapenzi, maana last time alibwagwa na demu baada ya demu kuona jamaa hana maamuzi ya kiuanaume. Ilikuwa jamaa kila muda anamuuliza demu maswali ya kijinga na hana stori za...
  9. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote. Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za BM vyoo vya wanaume Shekilango, jionee mwenyewe

    Ofisi za BM vyoo vya wanaume Shekilango, hali yake hairidhishi wahusika wachukue hatua.
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Rate ya vifo vya wanaume kwenye ndoa ni kubwa kuliko ya wanawake , wanawake Wana immunity kubwa sana

    Mungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu. Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike. Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ ...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Wanaume angalieni pa kuweka moyo wenu msije mkaingia kwenye jinai

    Waziri wa Mambo ya Ndani, PatrobasKatambi amesema hayo mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 18 wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, ambapo amesema kutambua viashiria vya utapeli katika mapenzi itasaidia kuepuka kuchukua sheria mkononi kwani mamlaka husika hazitaacha kuchukua...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wanaume inabidi tuanzishe “Global Male Population Emergency Summit"

    Kwa mienendo ya watu hawa walioondoka kwenye group letu pendwa na wanaume. Itabidi tuanzishe “Global Male Population Emergency Summit" kwa ajili ya kulinda miiko ya kuwa Mwanaume kamili. Tutazungumza agenda mbalimbali zinazohusu ushupavu, kuwajibika na namna ya kuwa kamili gado kama dume...
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sisi wanaume tunaofanya kazi taasisi zenye majina makubwa tunashobokewa sana na warembo?

    Nikisema taasisi zenye majina,namaanisha taasisi hizi. 1.ikulu 2.BOT 3.Ewura 4.Naot 5.Tanesco 6.Bunge 7.Balozi mbalimbali 8.Tpdc 9.wizara ya fedha 10.Tcc 11.Tbl 12.Tanapa 13.coca cola 14.Serengeti breweries 15.kilombero sugar Na nyinginenza aina hiyo. Ni kwa nini warehouses wanatushobokea...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

    Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂 Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
  16. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda Hallelujah Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
  18. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka. Hivi ni kweli. Mtu mzima akiwa na vipele ambavyo haviponi au kuwa na makovu mengi ya mara kwa mara...
  19. adriz

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wanaweka, Oneni thamani za wanaume wanaopambana kwa ajili yenu

    Mthamini mwanaume anayejituma kutafuta maisha, anayechoka kazini huku akiwaza namna ya kufanya kesho yenu iwe bora. Yule ambaye huenda hana kila kitu unachokitamani kwa sasa, lakini anajitahidi kwa uwezo wake wote kuhakikisha mnapiga hatua pamoja. Mthamini anayesimama nawe wakati wa shida...
Back
Top Bottom