Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

Credio

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
78
Reaction score
161
Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda
Hallelujah
Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia
Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo itasaidia kupunguza uzinzi na uasherati na kuepuka migororo ya ndoa inayoleta madhara kama mauaji, vilema n.k
 
Kama waliweza kuruhusu ndoa za jinsia moja nahisi hili pia wataliruhusu
 
Kwan nani kakuzuieni?
Hizi dini waumini wake ni wanafiki sana, ndiyomaana huwa nasema kila siku imani ni mtu binafsi wala haihusiani na dini.

Jitu lina Ke mmoja wa ndoa ila lina Serengeti girls kontena zima, ana tofauti gani na wale wasiokula mdudu ilihali ukitembelea wauzaji nyakati za mifungo hulalamika biashara kudoda?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hakuna
Ushindwe
IMG-20261009-WA0203.jpg
 
Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda
Hallelujah
Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia
Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo itasaidia kupunguza uzinzi na uasherati na kuepuka migororo ya ndoa inayoleta madhara kama mauaji, vilema n.k
Na ruhusa hii iwe sambamba na kuachana, ili waumini waishi kwa amani.
 
Hizi dini waumini wake ni wanafiki sana, ndiyomaana huwa nasema kila siku imani ni mtu binafsi wala haihusiani na dini.

Jitu lina Ke mmoja wa ndoa ila lina Serengeti girls kontena zima, ana tofauti gani na wale wasiokula mdudu ilihali ukitembelea wauzaji nyakati za mifungo hulalamika biashara kudoda?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hujui kutofautisha kat ya dini na mtu binafsi.
Uislamu umekataza kumsalia mtu mnafiki atakapokufa
Dini haina kona,mtu ana kona nyingi na unafik
 
Back
Top Bottom