KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.
Wadau wa JamiiForums,
Naomba tujadili swali hili kwa uwazi na hoja za msingi.
Katika jamii yetu ya sasa, kumekuwa na ongezeko la wanaume wanaosema hawana mpango wa kuoa na wanawake wanaosema hawana mpango wa kuolewa. Kila mmoja ana sababu zake, na bila shaka kila mtu ana haki ya kuamua namna...
Habarini za wakati huu Wazee!
Kama maada inavyojieleza, kuna mshikaji wangu wa karibu sana alinishirikisha Jambo ambalo likanifikirisha sana na kuwa shauku kufuatilia zaidi. Huyu mshikaji wangu yupo Dsm kwa sasa na mimi nipo Dsm kwa muda, jana tukapata muda wa kukutana kupata moja baridi moja...
Habari members wenzangu
Nimekuja kwenu kuomba ushauri mbali mbali kisha nichanganye na zangu
Nina miezi sita sasa tangu nimefunga ndoa na mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano kwa miaka miwili.
Nilichokuja kugundua ni kuwa muda wite wa mahusiano yetu alkuwa akiigiza tabia.
Kwa sasa ameonyesha...
Kumekuwa na wimbi la mauaji, matukio, ndoa kuvunjika bila mpangilio...
Imagine mtoto yuko shule tayari anlmeshaingia kwenye kudanganya, au masponsor,
Juzi tu hapa, nimekutana na kitoto cha sekondary kina mama yake mgahawa I, tayari yeye na mamaye wananipigia mahesabu mimi. Kwa wanaume...
Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda
Hallelujah
Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia
Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
Swali la leo: Hivi mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke wa ndoto zake au mwanamke mwenye kipato chake?
Tuseme umekutana na mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati, anakuheshimu, ana tabia nzuri, mnaelewana na unaona kabisa ndiye mwanamke uliyekuwa ukimtamani katika maisha yako. Lakini hana kipato cha...
Swali la leo: Hivi mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke wa ndoto zake au mwanamke mwenye kipato chake?
Tuseme umekutana na mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati, anakuheshimu, ana tabia nzuri, mnaelewana na unaona kabisa ndiye mwanamke uliyekuwa ukimtamani katika maisha yako. Lakini hana kipato cha...
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.
Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.
Millennials wengi wakaingia kwenye...
Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza?
Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
Mwanamke niliekuwa natarajia kumuoa mwezi huu October nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni watatu. Mkiniona kwenye ndoa nivunjeni miguu yote miwili.
Nimenusurika kwenye hili sitarudia Tena ujinga.
Wanajamvi habari za wakati huu wengine mkiwa kitandani wengine seubleni na wengine counter wakishusha vyombo.
Hivi sifa tunazosikia kuhusu wanawake wa kichaga na kimachame kuwa wapo kopportunist zaidi kwenye ndoa na hawachelewi kutoa uhai wa wanaume zao waliowao zina ukweli wowote?
Nimeona...
Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu.
Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye.
Lengo halikuwa tu...
Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa.
Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini?
Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa?
Je, ndugu zangu naona...
Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula.
https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
Hello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.
adriz de...
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli"
Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana
Ameongeza kuwa...
Kuna kisa kimetokea manyuzi tu na kimenifanya lile wazo langu la kuoa mwanamke asiye mwafrika kuzidi kukomaa... (Sidhani kama Nitakuja kuoa mbongo au mwafrika)
Unajua nini, ukweli usemwe tu wanawake wa huku Africa ni vichomi. Sio kwa ubaya ila ni kitu ambacho kinazidi kudhihirika..
Ni hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.