Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.

Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.

Millennials wengi wakaingia kwenye ndoa kwa ulimbukeni wa HARDCOPY

SOFTCOPY, yaani tabia, ikachuja sana.

Leo, miaka imepita. Wengi wanaanza kuona umuhimu wa Softcopy. Maana Hardcopy unaweza kuinunua, lakini Softcopy inajengwa kwa maadili ndiyo unayoishi nayo ndani ya ndoa.

Kama kizazi cha Millennials, tulijifunza kwa gharama.

Gen Z, msirudie makosa yetu. 😅 Kama utahitaji hardcopy hakikisha na softcopy ipo vizuri

Vigezo muhimu vya softcopy

Asiwe Feminist - Hayupo tayari kwa maisha ya ndoa bado anahitaji uhuru

Uvumilivu - Maisha ni kupanda na kushuka kwenye vipato, afya, mahusiano, n.k.

Akili ya maisha - angalau awe nayo, sio mtu wa kuwaza fairy tales na over expactations kufanyiwa mambo yote
 
Gen Z bhana umekula umeshiba unaanza kutype upuuzi..
 
Ndio maana hivi Sasa wanaume waoaji wamekuwa adimu madogo wa Gen Z wameshitukia mchezo.Madogo endeleeni kukaza hivyo hivyo na kataa ndoa ili haya mashetani akili ikae sawa naona sasa hivi yanatanga tanga mitaani thamani imeshuka
 
Back
Top Bottom