KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano.
Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi...
Husemwa kuwa, siasa ni mchezo mchafu...
Lakini mimi nasema hivi: Sio kweli, bali siasa ni Sanaa na profesheni halali na ya kawaida kama profesheni zingine katika maisha mfano ualimu, udaktari, unasheria nk. Shida ni kuwa, siasa imebeba watu wachafu kimaadili kwa zaidi ya 95% ndani yake na hawa...
Tuanze kwa kuangalia MAKOSA YA KINIDHAMU kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA (2019).
Katiba ya CHADEMA inayoshughulikia nidhamu ni "SURA YA TANO, IBARA YA 7 na IBARA YA 8."
IBARA YA 7: NIDHAMU YA WANACHAMA
7.1 - Kila mwanachama ana wajibu wa:
(a) Kuitii na kuheshimu Katiba ya CHADEMA.
(b)...
Anasema kumsamehe Mwanamke anaposaliti kwake ni ngumu sana hasa pale ambapo anapokuwa hatoki nje ya ndoa kabisa, hilo ndio kosa ambalo linaumiza zaidi kibidamu, na ni ngumu sana kumsamehe labda kwa uwezo wa Mungu.
⚖️ MWABUKUSI: KUGOMA KULA MAHABUSU NI KOSA KISHERIA
“Kugoma kula wakati chakula kinapatikana mahabusu ni kosa kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Makosa ya Uhaini.” — Adv. Mwabukusi, Rais wa TLS.
📌 Kauli hii yazua mjadala kuhusu haki na wajibu wa wafungwa na mahabusu.
🔜Kuuzuia mwili usipate...
Watekaji, kama ni kweli msimuue Twaha Mwaipaya!
Hana kosa, hata kama ana kosa mpelekeni mahakamani!
Chances are very feeble kuwa atasalimika maana hii ni mission from Malawi!
Nilitukanwa kwa kosa sio langu, kwa voicemail ya whatsup. Nikamwomba huyo mtu tafadhali ampigie simu huyo mdogo wangu ambae ni mtu mzima kabisa amfikishie huo ujumbe na asinishirikishe kwenye ugomvi.
Yule binadamu akaanza kunitukania wanangu na mdogo wangu asiehusika, nilikasirika nikajikuta...
Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16.
Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...
Hizi ni Moja ya kanuni za mwanaume makini.
Nikweli wanaume tunakosea na tuna makosa mengi tu kama binadamu lakini kitendo Cha kuombaomba msamaha Kwa mwanamke hiyo fuse imeshakata Haina mawasiliano tena.
Mwanaume hupaswi kuomba msamaha Direct au kukiri kosa Moja Kwa Moja ni HAPANA badala yake...
Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi .
1. Saudi Arabia
2. Iran
3. Qatar
4. UAE
5. Afghanistan
6. Mauritania
7. Yemen
8. Brunei
9. Maldives
10. Pakistan
11. Somalia
12. Malysia
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.
Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.
Millennials wengi wakaingia kwenye...
Mamlaka ya ukusanyaji wa kodi KRA imenasa iPhone 40 aina ya iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max zenye thamani ya takriban Sh8.2 milioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Kilichowafanya maafisa wa forodha kumtilia shaka abiria huyo si mizigo pekee, bali pia ratiba yake...
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu.
Kwa mfano, wanataka wampe...
Wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania.
Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga?
Kwa sababu ukienda mikoani...
Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.